Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 8, 2011

MUIGIZAJI WA NOLLYWOOD SAM LOCO EFE AFARIKI DUNIA...

Muigizaji mkongwe na mchekeshaji wa siku nyingi wa Nigeria SAM LOCO EFE ambaye mara nyingi alikuwa akiigiza na AKI na UKWA,amefariki akiwa hotelini chumbani kwake alipokuwa ameweka kambi kwa ajili ya shooting ya movie,atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa sanaa yake Nollywood.Wasanii wengi wa Nigeria walizoea kumuita Uncle Sam. Sam Loco enzi za uhai wake location


Baadhi ya movie alizokuwa akicheza...

7 comments:

Iryn said...

Haaa that man jaman woz so so fun,kwel dunia mapito n'Mungu ailaze roho yake mahal pema pepon... Amein Mungu ailaze roho yake mahal pema pepon... Amein

Iryn said...

Kanumba am ur fan lyk ur kaz honestly u do great keep t up... Bt ckuwaga na utartbu wa kupitia ur blog i dnt knw y kumbe u ve got good thngs here... Promice u i wl try 2 be here

Anonymous said...

RIP SAM LOCO.we loved ur acting but God loves it the most.

Anonymous said...

kanumba siku hizi umekuwa mvivu kutuwekea mambo mazuri kama kawaida yako au uko busy sana?

Anonymous said...

Which is which?it is published on another site that, Sam loco Effe had an heart attack and was rushed to hospital.The report said he is alive.Go to www.ghanamovie.com

BQ said...

RIP SAM JAMANI WAS SO FUN NAMKUMBUKA NA NITAENDELA KUMKUMBUKA ZAIDI KWENYE MOVIE YA DAD MUST OBEY LOL

Anonymous said...

Sadnes to us an Aki an Ukwa
RIP auncle Sam