Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 21, 2011

MUIGIZAJI RICHARD MOFE DAMIJO ATIMIZA MIAKA 50.

Muigizaji wa siku nyingi Nollywood Richard Mofe Damijo a.k.a pastor Kenny amefanyiwa party na mkewe kwa kutimiza umri wa miaka 50 na kufurahia miaka 15 ya ndoa yao tangu walipooana,Richard alistaafu uigizaji filamu Nollywood tangu alipoingia katika siasa miaka kadhaa na sasa bado ni commissioner of culture and tourism katika Delta state huko Nigeria. Tizama keki hapo ziko mbili moja ya mchango wake katika movie Nollywood na inayofuata ni ya birthday yake kama zinavyoonekana katika picha.


Muigizaji wa siku nyingi Nollywood Mr.Chidi Mokeme nae alikuepo.


MR&MRS RMD.(RICHARD MOFE DAMIJO)


Mama mkongwe katika sanaa ya filamu na mmoja wa waasisi wa Nollywood na aliye mke wa muigizaji mkongwe Olu Jacob,..Bi Joke Silva nae alikuepo katika birthday hii.


Waliitwa waigizaji wenzake kupiga picha ya pamoja akiwemo rafiki yangu Ramsey Nouah.


Waheshimiwa wanasiasa wenzake nao walisogea kupiga picha ya pamoja.

1 comment:

BQ said...

NICE ONE KANUMBA NIMEFURAHI KUMUONA MKE WA OLU