Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 26, 2011

HARUSI YA CAMERAMAN WANGU(WA MOVIE ZANGU) ZAKAYO MAGULU ILIVYOFANA.

Zifuatazo ni picha na matukio mbalimbali ya harusi ya cameraman wa movie zangu karibia movie zote ninazoshoot ZAKAYO MAGULU ilivyofana lakini kizuri pia katika harusi hii aliyeolewa ni mmoja wa ma-staff ofisini kwangu yaani ofisi ya KANUMBA THE GREAT FILMS ajulikanae kwa jina la FARAJA.J.MAGULU pongezi nawapa nyingi sana.JOHARI AKITOA PONGEZI KWAO MAHARUSI


ODAMA AKAFATA


MAYA AKAFATA


NELLY AKAFATA


THE GREAT


BABU AYUBU AKITUVUNJA MBAVU KIDOGO


LULU


STEVE NYERERE NAE AKIVUNJA MBAVU ZA WATU


SWAHIBA AKAFATA


MR&MRS ZAKAYO MAGULU


JB AKIMPA PONGEZI ZAKAYO.

10 comments:

Anonymous said...

hongereni sana maharusi, Mungu awatangulie kwa kila jambo mpangalo pamoja! Ila nawe Kanumba umezidi uzuri nawe kaah!

Anonymous said...

duuh amaa ilipendeza sana,,sasa bado wewe the great na swahiba wako.mwoe sasa jamani mtashereheka za wenzenu hadi lini heee

Anonymous said...

jamani lulu anaongea nini??????? anawaambia nini maharusi nayeye ni mtoto??????? haya jb nae mbn km kavamia shuguli?????alivovaaa mh

Anonymous said...

JB anaharibu harusi ya watu hakuaarifiwa nini, alivyovaa utafikiri katoka shamba watu wengine msiwe mnawaalika aibu yeye ndio mkubwa wao apashwa aonyeshe mfano

Anonymous said...

hebu huyo mtoto lulu mwekeni pembeni kwanza hayo mambo hayamfai kwanza hapo anaongea nini atashauri nini kwa umri alionao, wenzake umri huo wanakimbiza na shule

THE WORLD OF WOMEN said...

nimekerwa na anayemsagia lulu hivi kwani lulu kawakosea nini mtotomtoto. eti wenzake wako shule. shule shule kitu gani shule bongo kwanza lulu nampongeza kwani amepiga hatua kubwa sana kwenye uwanja wa uigizaji na napenda kumuambia kaka kanumba kua awe anamshirikisha lulu kwani sisi huku moshi tunampenda sana.

THE WORLD OF WOMEN said...

hongereni maharusi mmependeza sana

ASHA said...

nawapa pongezi maharusi

Anonymous said...

Kanumba shati umenunua wapi serious nalitaka

Anonymous said...

wewe unayemtetea lulu kwa kutosoma nafikiri hata wewe hujasoma huyu ni mtoto anatakiwa kusoma kwanza kazi baadae ingekuwa mwanao ungeandika hvyo acha hvyo hata kama anafanya vizuri kusoma mhm acha unafiki