Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 22, 2012

EBU PATA PICHA.......

JENIFER NA SOFIA


PATA PICHAAAAA
AHAHHAHAH GUSA GUSA SOUND....
SOFIA NA PATRICK KTK VOCAL.....
JAMILA KTK GALATON GITAA.
PATA PICHAAAAAA NI NINI HIKI??
JENIFER NA SOFIA...
JENIFER...
KAMA JENIFER AKIPIGA KINANDA UNADHANI SOFIA ATAIMBA???AHAHHAHA PATA PICHA....
AHAHAH ....THE KANUMBA"S,,,,,,
JENIFER KTK KINANDA.......

12 comments:

Majoy said...

Du nice collection...nimeipenda sana najua ni muvi halafu itakua kali sana ...i can't waaaaait!!

Majoy

Anonymous said...

jamani Jen kakua kanaanza kuwa kabinti jamani minyangau isijemuharbu mtoto huyu, Kanumba pliz msomeshe mtaani kulivo hasa km ukiwa unatokea sn kwa runinga

Anonymous said...

kanumba nakupenda jinsi ulivyo serious sijui kwanini nakuombea sana kwa mungu upate mke mwema, ambaye mtaendana kwa kila kitu,awe mke atakeykusikiliza, na asiwe amekupenda kwa ajili ya hela ulizo nazo hapana, toka nimeangalia interview yako na zamaradi wiki iliyopita, you kaka, you deserve to get wife material bana, sio mwanamke mjinga, hata kidogo, please endelea kumuomba mungu najua hawezi kukuacha hata kidogo, atakupa mke unayemtaka wewe, kaka yangu, nakuombea sana sana. gee wa p

Albert said...

Hawa watoto watatu wanaonekana kuwa seriuos kazini. Hongera sana Kanumba kwa kuibua vipaji vipya, endelea wala usikate tamaa.
Movie hiyo naamini itakua bomba zaidi!
Albert, Australia

Anonymous said...

Hey kaka nawaona wadogo zangu wako katika pozi na matarajio yangu wanakuja na kitu kikali chini ya ya Uncle Kanumba kama wenyewe wanalivyoniambiaga.Nawapenda na Mungu akubariki kwa kunipa nafasi ya kuzungumza nao na kuwaandikia makala. Big Up and Be Blessed

Anonymous said...

TARATIBU NA MTOTO WA WATU HUYO KAKA JAMANI KISHAANZA KUWA KIBINTI MATITI YAMEMSIMAMA DOGO HUYO JENIFFER MAANA WANAUME HAMNAGA MANA HATA KIDOGO LEO MTOTO KESHO MKE TARATIBU KAKA.

kelvin said...

Kaka kama ni muvisipati picha

Anonymous said...

Jamani hawa watoto wasije kuishia kama Lulu. Hongera Kanumba kwa kukuza vipaji vyao ila uwe unawapa soma

Anonymous said...

hey brother K,your great.mungu akupe nguvu sana.

Anonymous said...

You are great ever broda, I do love the kids>>OMG

Anonymous said...

nawapenda sn hao wtt they knw how to act big up to them and u ur self kanumba

Anonymous said...

Naka penda sana ka Jennifer yani niliona movie ya Uncle JJ hadi leo bado naipenda...Steve do something make sure Jennifer goes to school na awe mtoto mwenye tabia nzuri.Mdau Sweden