Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 9, 2012

KANUMBA THE GREAT FILMS IKIDHAMINIWA NA POLICY FORUM WATANGAZA RASMI KWA WAANDISHI WA HABARI UJIO WA FILAMU YA ''KIJIJI CHA TAMBUA HAKI''

Katika ukumbi wa Kambarage, Hoteli ya Regency ndiko kulikofanyika utambulisho huu wa filamu yangu ya ''KIJIJI CHA TAMBUA HAKI'' sponsered by POLICY FORUM,itakayotoka mwezi huu mwishoni ikisambazwa na kampuni ya STEPS ENTERTAINMENT TZ LTD.Shukrani zangu za dhati kabisa kwa POLICY FORUM kwa kunisaidia kutengeneza filamu hii,filamu niliyoshirikisha watu zaidi ya 400.
Wanahabari wakiwa tayari kusikiliza.
Mwenyekiti Mwenza Serikali za Mitaa wa Policy Forum, Hendroni Mwakagenda akitoa maelezo mafupi kuhusu filamu hii na kwanini waliamua kuwa na mimi.
Kulikuwako na vitafunwa na vinywaji kidogo.

The great nikisisitiza kuwa ni filamu ya kipekee hakuna mapenzi humo,hakuna majumba ya kifahari wala suti nzuri.ni maisha halisi anayoishi Mtanzania wa leo kijijini.
POSTER YAKE NDIO HII kutoka kushoto ni Mr.Hendron Mwakagenda,Kanumba na Mr.Alex Modest Afisa toka Policy forum.

Kipindi cha kujibu maswali toka kwa waandishi.

2 comments:

daizy said...

mhh siamini kama wewe hii movie inaitwaje

Angie said...

Ur doing well guys...all tha best!