Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 7, 2012

NI '''KIJIJI CHA TAMBUA HAKI'''mwezi huu......

HUMU HAKUNA MAPENZI WALA LONGO LONGO NI HARAKATI TU,NI MOJA YA MOVIE ZANGU ZILIZOTOFAUTI KABISA NA ZOTE NILIZOSHAWAI KUTOA.


12 comments:

ngaizaskids said...

kazi nzuri kakangu Mungu awe nawe katika kila jambo.

Anonymous said...

umekua sana kitaaluma kaka, nimetizama Johari,The Shock,Devil kingdom na Moses naona kabisa transition na jinsi unavyojengeka as days zinavyozidi kwenda....sikuwa mpenzi sana wa bongo movies lakini umeniconvince....uko vizuri kijana...plz usituangushe

Anonymous said...

KAZI NZURI KAKA AS ALWAYS U R GREAT ,N NIMEKUTUMIA EMAIL THRU YUA EMAIL ULOIWEKA HAPA KWA BLOG YAKO I REALLY NEED TO C YU N TOK TU YU IF YU DONT MIND ,.I ATTACHED MY CONTACTS ON THAT EMAIL PLIIZ TRY TO REACH ME ANY TIME .
NAISUBIRI HII MUVIE ITOKE RASMI CANT WAIT .

Amanda Reuben said...

kiukweli ktk waigizaji wa filamu za kibongo wewe nakukubali sana, ukifuatia na JB. Mungu aibariki kazi ya mikono yako.

Anonymous said...

mungu akutie nguvu zaidi kz nzuri

Anonymous said...

Hongera Kanumba huwa hufanyi mistake. Denzel wa Tz

Anonymous said...

Unajua Kanumba wewe ni actor mzuri na huwa napenda sana movie zako na nilishakushauri siku za nyuma kuwa;
1: Usikate tamaa
2: Mtegemee Mungu na usiwe involved kwenye scandals. Hata kama ni star bila Mungu ni bure
3: Work hard b'coz nothing is impossible under struggling
4: Language (English) is not a big deal, we are all learning
5: Jitambue wewe ni nani mbele ya jamii na Mungu

All in all i wish all the best bro! i really appreciate ur doing good

Anonymous said...

Unafanya vizuri sana kaka Mungu Akubariki katika kazi zako. KEEP IT UP!!!!!!!!!

Anonymous said...

Mimi binafsi sijaiona hii filamu lakini filamu za kupigania haki za wanyonge ni filamu nzuri kwani haki hasa kwa watu wa tabaka la chini,watoto,wanawake na walemavu bado ni tatizo katika jamii yetu.100 thumbs up na keep it up

Angela said...

unafanya kazi nzuri and ur improving, mie si mpenzi saana wa movie za bongo lakini zako na za baadhi ya wasanii wachache sana wa hapa huwa naziangalia, am waiting for it....kip it up brother

Anonymous said...

the society really sees what you are doing and this goes with appriaciation....
I`m feeling so proud of your art works
MAY GOD BLESS YOU WITH YOUR HAND GIFTED JOD!

Anonymous said...

CONTACT ZANGU NI lucy.izengo@yahoo.com au facebook, lucy steven, nipige tafu namie kanumba