Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 5, 2012

MWEZI HUU NADONDOSHA HII MOVIE INAYOITWA KIJIJI CHA TAMBUA HAKI SPONSERED BY POLICY FORUM ITASAMBAZWA NA STEPS ENTERTAINMENT.


3 comments:

Anonymous said...

cant wait to see this movie...

Anonymous said...

naamini itakuwa nzuri na yenye kueleimisha maswala ya haki na utawala bora maana ndo kazi kubwa ya policy forum, tunaisubiri kwa hamu.

Anonymous said...

Yeah, ndo mnatakiwa muwe na mabadiliko, siyo kila siku kucheza movies za mapenzi tu na ambazo hazielimishio badala yake zinapotosha.
wewe ni muigizaji mzuri sana na unajitahidi,, ila badili mwelekeo na utafanikiwa zaidi jitahidi kucheza movie tofauti na utafanikiwa zaidi.
keep it up bro,, tuko pamoja ingawa tuko huku ughaibuni ila tunakusaport kwa njia moja au nyingine usikate tamaa.
Bob, Canada