Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 5, 2012

UMETIZAMA BIG DADDY??UMEONAJE UIGIZAJI WA MTOTO HUYU???

HAKUONGEA NENO LOLOTE ZAIDI YA VITENDO TU NA AMESHOOT SCENE MOJA TU HII ILA AMETOKEA KUVUTIA WENGI.............UMEMUONAJE???
KATI KATI YA SCENE AKIENDELEA........
AKISHOOT NA SOPHIA KATIKA BIG DADDY......WOTE NI WATOTO ILA WANA VIPAJI NAMI NIMEVIIBUA.

5 comments:

Anonymous said...

kwa ushauri mdogo 2 mwambie mwenye huyo mtot aache mara moja kumpa huyu mtoto atifisho foood mayai ya kisasa ampe vyakula vya asili kizungu zungu hivi ndio maana watoto wengi wanaharibika sana ni ushauri tu

Anonymous said...

namuonea huruma huyo mtoto mnene,ila wenye makosa ni wazazi wake.wajaribu sana kumpa vyakula ambavyo sio vya kunenepesha.yeye ni mdogo hajui kitu,jamani unene mbaya,ni kukaribisha magonjwa.unene kama huo,sio sifa kabisa

Anonymous said...

Ni kweli huyu mtoto inawezekana ni mwili wake lakini hizo Ice cream zinazidi kumwongezea weight, na usishangae baadae anaugua magonjwa yasiyo na kichwa wala miguu, mzazi wake ahakikishe mtoto anapata balance diet tu na juice natural ya kutengeneza nyumbani na si zaidi. Kama ataendelea na Ice cream, sijui juice za box, conflakes na mabiscut, soda nk mzazi utakuja kuregreat baadae.

Anonymous said...

Jamani nilicheka sana alivyofanya huyo mtoto kwenye big dad ila mama yake au mtu anaishi nae,ampunguzishe kula ni kibomge mno.

Anonymous said...

TAFADHALI NAKUOMA UFIKISHE UJEMBE HUU KWA MWENYE MTOTO HUYU, NIHATARI SANA KWA HAFYA YA MTOTO NA VYAKULA ANAVYO MPA, AACHE MARAMOJA, TENA HARAKA IWEZEKANVYO, LASIVYO NITACHUKA HATUA KALI ZA KISHERIA NA HAKI ZA MTOTO,

SERIOUS...