Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 9, 2012

JE WAKUMBUKA HII CHARACTER NILIICHEZA KTK MOVIE GANI??HII NI KATI YA MOVIE NILIZOWAI CHEZA NA NAIPENDA SANA KUJITAZAMA MAANA NI MOJA YA UHUSIKA MGUMU

HAPA NDIPO NILIZIDI KUMSHUKURU MUNGU MAANA NILIGUNDUA AMEWEKA KITU SPECIAL NDANI YANGU SI KIPAJI AU KARAMA TU BALI KAWEKA UWEZO NA KIBALI.UNAKUMBUKA HII NI MOVIE GANI????

AHAHAHHAHAHHHH

14 comments:

Anonymous said...

aaaaaah kaka hapo ulitisha ni CRAZY LOVE.... INACHEKESHA SANA, NAKUKUBALI SANA KANUMBA

Anonymous said...

yaan nimetoka kuangali jana tu, unashabik mmoja kanilazimisha angali hii nzuri, nikamwambia me natakampya ila sikuwahiona jaman ur* maana duu

huyu mama yaan dah anaapenda sana film zako jaman pia anawatoto wazuri hao wanvpaji sana

Anonymous said...

inaitwa craz in love, hyo mama alinipatia niione nzuri, anawatoto wazuri wanvpaji hao. wakiume, kama utawaona mmoja atacheza kama will thim akiwa mdogo yaan cop rit moja obama yaan wamefanna hao wote makamo mamoja hebu mtafute
mwambie mariam sister wa saguda mak internt akulete

Anonymous said...

SIKUMBUKI NI MOVIE GANI ILA ULIPIGA KAZI KAKA ACHA TU JAMANI MANA DUH.....!HONGERA SANA KWA KAZI ZAKO NZURI

MAMA ISLAAH said...

Hi, Kanumba Hiyo ni MOVE YA CRAZY LOVE, ILA ULIFANYA VIXURI SANA ENDELEA HIVYO HIBVYO USIWE KAMA WENZIO AMBAO MOVE ZAO HAUWEZI KUANGALIA HATA NA WATOTO AU WATU UNAOWAHESHIMU KAZA BUTI ILA USILEWE SIFA UKAHARIBU, MFANO NMINA MTOTO ANAPENDA SANA MOVE YA BIG DADDY ANA MIAKA MITATU AKIAMKA TU NI SELENGO NA SOPHIA UKITAKA ASILE USIWEKE HIYO MOVE BIG UOP SANA KAKA YANGU, MUNGU AZIDI KUKUBARIKI, ILA MSAMEHE BABA YAKO KWA YOTE ALIYOKUFANYIA WAKATI HUO.

MAMA ISLAAH

Anonymous said...

ni mapenz tu yalikuchanganya,

Albert said...

Hata na mimi sichoki kuiangalia Kaka! Hii imekua ni character kali kulizo nyingine umesha waho kuchukua!
Keep it alive bro!

Anonymous said...

crayz love baba, ulikamua ile mbaya! mpaka sasa navutika kuiangalia na familia yangu!

Anonymous said...

crayz love baba, ulikamua ile mbaya! mpaka sasa navutika kuiangalia na familia yangu!

Anonymous said...

kitu kinaitwa CRAZY LOVE, ni picha nzuri na kali. kwa kweli kanumba uko juu mi nakukubali. mdau dsm

Anonymous said...

kanumba hii ni moja kati ya filamu zako ninayoipenda sana uliigiza kama msomi wa hali yajuu jina nimelisahau ila uliigiza kama lecturer alietembea na wanafunzi then akamsahau mke wake nyumbani, naipenda sana hongera

Anonymous said...

HI KANUMBA JAMANI NAITAKA HIYO MOVIE NITAIPATAJE NIKO SWEDEN KAMA UNAWEZA NITUMIA KWA ADRESS UNIJULISHE NI KIASI GANI KWA CD YAMOVIE YOTE THEN NITAWASILIANA NAWEWE UNITUMIE KWA NJIA YA POST.NAKUPA MAIL YANGU UNIJ julieth2002us@yahoo.com nijulishe bei zake pia naweza agiza na movie zingine mpya.thanx kaka ubarikiwe saana.

getrude said...

ni kwenye CRAZY LOVE Naipenda sana hii muvi

Anonymous said...

ulifanya mbaya sanaaaaaaaaaaaaa. huwa sichoki kuangalia brotha