Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 14, 2012

EMMANUEL MYAMBA AMTEMBEZA THE GREAT OFISINI KWAKE(BORN AGAIN FILM)

Kwakuwa naujua vizuri mwanzo wa sanaa yake rafiki yangu Pastor Myamba akaona ni vyema pia kama nitatembelea ofisini kwake kuona maendelea yake,nami hakika nilimpa pongezi za dhati kabisa maana mbali na kuanzisha chuo lakini pia ana kampuni yake ila kikubwa zaidi sasa amekuwa msambazaji wa kazi za filamu,hivyo akishoot movie zake anasambaza mwenyewe na ana mashine za kufyatua dvd original si feki hapa.
Akinionesha mashine zake za dvd....
Tukiwa ofisini kwa mkurugenzi Myamba,mie na kijana Nteze.
OFISINI
Hongera sana ndugu yangu...
mitambo mitambo...
Katulia ofisini kwake kijana....
Hapa ni sehemu ya mapokezi,Myamba,The great na Makubi....
Akishuka katika gari yake tayari kwa kuingia ofisini kwake,hiyo ni ofisi yake kwa nje inavoonekana.
Hili ni duka lake la kuuza kanda za filamu mbalimbali...
Dukani karibuniiiiii.............

Nikiweka sahihi katika kitabu cha wageni.

5 comments:

Anonymous said...

jamani Mungu abariki kazi ya mikono yenu

Milka Richard said...

Ni vizur kutembeleana Kanumba,inadumisha umoja na upendo baina yenu.Hongera sna Myamba,naona unazid kujijenga.Mungu azid kuwainua na aibariki kaz ya mikono yenu.

Anonymous said...

Sana kwa kwel inapendeza, MUNGU azid kuwabariki ndg zetu, nampenda sn pastor myamba haswa akiwa ana act km pastor anapatia sn sn. stay blessd you all.

Dorry said...

Great Kanumba and Myamba, I like you so much good job.

paudoospy said...

Mungu ambariki sana Myamba na aendelee kumkuza zaidi