Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 6, 2011

NI NANI KATI YA WASANII HAWA KWA MWAKA HUU WEWE KAMA SHABIKI WANGU WA KWELI UNGEPENDA NIFANYE NAE KAZI??

Kwa mwaka huu nimepanga kufanya kazi na msanii mmojawapo kati ya hawa hapa chini(DESMOND ELLIOT,RAMSEY NOUH na VAN VICKER) sasa nakupa nafasi kwa wewe shabiki wangu kunichagulia ni yupi ambaye ungependa kuona nafanya nae movie kwa mwaka huu nami NITATIMIZA AHADI HII,tuma maoni yako kwa kupendekeza jina la msanii,ni wapi utapenda movie hiyo ichezwe yaani TANZANIA,GHANA AU NIGERIA?Lugha ipi itumike?filamu itahusu mambo ya secret society yaani jamii fulani ambayo haiamini Mungu kabisa bali shetani na wamefanikiwa kuiteka dunia kwa power,pesa,umaarufu na technology nk ambao pia wana ishara zao na ibada zao sasa pendekeza ni jina gani litakalofaa kuwa jina la movie?Kwa muonekano na uigizaji wote hapo wanaweza sasa chagua mmoja majibu nitayatoa tarehe 25 ya mwezi huu...kama mkereketwa wa sanaa hii ya filamu unaona utataka kuchangia chochote kwa hali na mali kufanikisha zoezi hili basi wasiliana nami kwa e mail info@kanumba.com (ila sio lazima)shukrani nitaandika katika movie lakini pia kama ni kampuni basi nitaweka tangazo lako katika movie hiyo kulingana na mchango wako iwapo zoezi litafanikiwa maana si kazi ndogo....asanteni.. DESMOND ELLIOT(NIGERIA)
RAMSEY NOAH(NIGERIA)
VAN VICKER(GHANA)..

229 comments:

«Oldest   ‹Older   201 – 229 of 229
Anonymous said...

van vicker,ifanyike btn ghana na tzn.english with swahili subtitles

Anonymous said...

ramsey plz

Anonymous said...

Desmond is my choice, venue Tanzania language English utauza sana.

Anonymous said...

hureeeeeeeeeeeee van vicar bro

Lusajo Mwalukunga said...

bro; fanya na VAN VICKER, LOCATION-GHANA, LANGUAGE- MIX ENGLISH AND SWAHIL.

mbali na hiyo;;
nna love story ambayo ukiihitaji uitengenezee movie ntakutumia.

jasonlusajo@ymail.com

Anonymous said...

VAN VIRKER....Yuko juuuuuuuuuuu!!!
Lugha: Swahili & English, ichezwe: BONGO

Anonymous said...

definetely Van Vicker....they'all qualify but VAN's more famous and he can play any role...<3

Anonymous said...

Duuuuh! kiukweli wote ni wakali, naungana na wadau hapo inabidi uangalie movie itakavyokuwa, kama ni ndugu Desmond mmefanana nae sana tu ila mi nitafurahi ukicheza na yoyote.

Lugha: Kiswakinge
Mahali: Tz na Nigeria

Anonymous said...

nini ramsey noah siku hizi mambo yote ni van vicker anakubalika sasa hivi huyo jamaa kichizi piga nae game uone mwenyewe

Anonymous said...

huyu maghana bwana amemfunika ramsey kwa kila kitu hakuna ubishi kwa hilo.............ni ghana tu

Anonymous said...

wa2 wengi nahisi hawamjui van vicker ilivyo, huyu jamaa ni noma sana tena sana nikisema anatisha anatisha kweli kweli fanya nae kazi waone wenyewe watasalimu amri

Anonymous said...

mie nimeshindwa kukujibu straight kwa sababu hujasema uta act naye katika story ipi na awe kama nani na wewe uwe kama nani, hivo ningeshauri ufanye na consideration ya story na position ya kwako na mmoja kati ya hao manake kwangu mie kila mtu anafit katika sehemu fulani na katika aina fulani ya story, hapo ntamsupport mdau wa kwanza.....

Anonymous said...

1;RAMSEY ANAPENDWA NA WENGI

2;VAN VICKER

WENGINE KAWAIDA TU

Anonymous said...

Piga Mzigo na VAN VIRKER...yupo kwenye soko kwa kipindi hiki....

Anonymous said...

Van Virker....Tanzania/Sawhili & ENGLISH....

Anonymous said...

Fanya kazi na Desmond Elliot. Binafsi nampenda sana, na kila kazi yake ninayoiangalia kwa kweli inanivutia.Iwe Nigeria na lugha - Kiingereza

Anonymous said...

ramsy plzz

Anonymous said...

ramsey nouah yees

Anonymous said...

ramsey n....

Anonymous said...

ramsey

Anonymous said...

RAMSEY NOAH

Anonymous said...

RAMSEY PLZZZZZZZZZZZ

yahoo said...

this tym do na desmond cos ramsey tayari

caroline said...

this tym bro fanya na desmond coz ramsey tayari

caroline said...

fanya na desmond

Anonymous said...

kwa kweli ramsay alistahili wengine next time anatia raha sanaaa

meggie impostra

Anonymous said...

hiii mr.Great mimi nimefurahi sana kufanya kazi na ramsey nouh and devil kingdom is best but sijelewa the end what happen to price and u a the great

Anonymous said...

cheza na van vicker wa ghana

ashura juma said...

kanumba ni msanii anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu za kibongo

«Oldest ‹Older   201 – 229 of 229   Newer› Newest»