Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 15, 2010

Leo nimetembelea Location ya Swahiba wangu kumtia moyo na Kazi ngumu ya Shooting ktk movie yake mpya chini ya RJ COMPANY. Si mwingine ni VINCENT KIGOSI (RAY)Nice Chande & Innocent Bachard wakifurahia jinsi shooting inavyokwenda

Mi, Docta Cheni na Johari. Furaha na Tabasamu kazi yaenda vizuri

Mdau Chime Chande & Nice Chande wakiwa katika set kabla ya kushoot
Leo Swahiba alisumbuliwa sana na Umeme, Taa zilikuwa hazipati mwanga wa kutosha kama mnavyoona akirekebisha

Crew ya GRM PRODUCTION ndio wanaomshutia The Greatest

Irene Uwoya Ndikumana mara baada ya kumaliza kushoot scene mojawapo. Jamani huyu Dada anakamua ile mbaya kwa sasa zaidi ya mwanzo


Uwoya na Johari

Uwoya na mimi pozi la pamoja. Jamani Irene hilo tumbo ni Mimba ya kutengeneza kwa ajili ya movie hiyo, hana mimba yoyote.

Chime Chande & Nice Chande ktk moja ya Scene

Mi na Nice Chande - Location.

Innocent Bachard na Nice Chande

Dr. Cheni na Uwoya ktk Scene (Cheni anafurahisha sana katika hii scene)

11 comments:

Anonymous said...

Yaani kaja juzi uyu Uyoya movie ishaanza kupigwa leo hahahaaaaaaaaa,kweli Bongo Tambarale sasa ,mazoezi wamepiga saa ngapi jamani,kweli Academy award tutanusa kweli kwa mtindo huu eheeeeee jamaaniiiiiiiiii

Anonymous said...

Kuwa na moyo huo huo kaka nimependena ushirikiano.

By Suzie

Suzie said...

Hongera baba ndo uanaume na maendeleo yanakuja kihivyo.

Big up

Anonymous said...

hellow dr cheni unazidi waka tu

Anonymous said...

Bro am good in acting ka vp nifanyie mpango.
0714597816

Anonymous said...

JAMANI HUYO CJUI NDO NICE CHANDE MBONA AMEKAA UCHI SNA C MKE WA MTU ANATANGAZA NINI NIMTAZAMO TU

Anonymous said...

mambo si hayo kanumba kushirikiana ulete na picha za ray humu maana unachoyo mpaka watu wamesema ndo waleta kabila gani weye kwani?una wivu kweli waonesha huwezi hata jizuia mambo poa sasa ndo usanii huu leta vijipicha vya swahiba wako kama ray anavyofanya ndo mambo nawatakia mafanikio mema.

Anonymous said...

Doh huyo sijui mrs. chande............

clara said...

mhh no commnet kwa nice chande

Anonymous said...

NICE CHANDE yupo wapi ADAM DISTINCTION, mie sisemi yangu macho tu........

nas said...

kaka napenda kazi yako,endelea na moyo huohuo..