Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 20, 2010

UZINDUZI WA WINE MPYA YA OVERMEER ULIFANA SANA...wine inayotengenezwa TZ kwa zabibu.

Fide na Aunty wakifuraia wine ya OVERMEER.

fide,aunty,mdau fulani na the great kwa pamoja


watu mbalimbali wakifuraia ujio wa wine mpya
kulia me,Asia na baba watoto wake dada Asia.
mainda na aunty walikuepo vizuriiiiiiiiiikwa pamoja wanawakilishaMR.Chuz yeye alikua samaki samaki vijana walipotoka wakajumuika naeTabasamu


lete manywaji upesiiiiiiiiiii ndivyo Fide anavyosema hapo.
5 comments:

Anonymous said...

Aunt naona umetilia kiatu cha nguvu.

Anonymous said...

Mwajitia marangi mpaka mnachukiza yani.

Anonymous said...

jamani auntie ananenepa siku hizi,mwambie asijisahau na msosi akapoteza ule uzuri wake

Anonymous said...

The great. Naomba mwambie Aunt she is very nice ithink on view no one can compare with.. its me maguruko

Anonymous said...

Hellow Kanumba,pole sana kwa kazi kubwa unayofanya katika kuliendesha gurudumu la maisha.Kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa kazi yako kubwa katika sanaa na Hongera sana kwa kufungua blog.Lengo hasa la waraka huu mdogo ni kukuomba msaada wako katika mambo kadha wa kadha yanayohusiana na film industry ya Tanzania hasa kuhusuana na uharamia dhidi ya kazi za sanaa ya uigizaji Tanzania.
Mimi ni mwanafunzi wa sheria katika chuo kikuu cha Tumaini Makumira Arusha.Nina fanya utafiti juu ya haki miliki na uharamia(Piracy) wa kazi za sanaa ya uigizaji Tanzania.Nadhani unaweza kuwa msaada mkubwa kwangu.Nakutakia kazi njema.

Naomba unirudishie majibu kupitia barua pepe ifuatayo

errymac@gmail.com