Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 12, 2010

Jamani Kesho tuwape support Vijana wa Jangwani

   VS    

Dar Young African (Yanga) kesho inajitupa uwanjani kukabiliana na vijana kutoka kwa mzee kabila wanaojulikana kama Saint Eloi Lupopo, Kesho The great nitakuwa uwanjani nikiwapa Tafu vijana wetu ili waweze kutoka na ushindi mnono kwa hawa wajamaa wanaojitambi na Mchezaji wao, Eti Ndume wa Ndume!! kama hajawa Njike wa njike. Kila la Kheri YANGA.

No comments: