Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 11, 2010

SIKU ILIYOFUATA THE GREAT NA TUVI JAMES TULIALIKWA KUTEMBELEA OFISI ZA MNET NA AFRICA MAGIC.

Nikisaini autograph ya Sophy mmoja wa wafanyakazi wa mnet.

Tuvi kachoka kusaini kaamua kupozi kidogo kwa picha.

The great na Tuvi tukisalimiana na bi Hamida Suleiman mkurugenzi wa Africa magic plus.

Hamida akimsifia Tuvi katika moja ya filam zake Nigeria.

Tuvi na Biola mkurugenzi mtendaji wa mnet.


kama kawaidaaaaa

me na kiongozi wa idara fulani mnet

nikisaini autograph zenye picha yangu

The great,sophy,Tuvi na Natasha.ilikua furaha sana siku.

The great na Natasha ofisini kwake...ofisini kwake amepamba picha yangu na ya Tuvi james tizama juu ya picha hii upande wa kushoto.Ila jamani mtoto mrembo huyuuuuu ahahahahah jamani Nashon upo??

autograph na picha ya pamoja...

swahiba akinitumia ujumbe mfupi wa salam.

autograph na picha kama kawa...

kutoka kushoto ni Biola Alabi katikati ndiye Nashon ambae movie zetu nyingi hupokea yeye na wasanii au producer wengi wa movie hapa huwasiliana na huyu jamaa ambae ni shabiki mkubwa sana wa movie za Aunty Ezeckiel,mwisho Tuvi.


Tuvi nae alikua busy na kusaini saini autograph za warembo wa mnet na Africa magic.

The great na Ernest mmoja wa ma producer wa movie Nigeria anayeishi Africa kusini baada ya biashara ya madini kumnogea...alinialika msosi kidogo masaa machache kabla sijakwea pipa kurudi bongo.

kwaheri rafiki yangu ni furaha kubwa sana kukutana na wewe huku tuzidi kuwasiliana kwa nr hii nigeria234............na hapa SA ni 277..........msalimie yule rafiki yako ambae huwa nawaona sana ktk Africa magic plus hasahasa filam ya O'PRAH.Mungu akipenda ntapenda siku moja niwakutanishe pamoja mcheze picha moja na JIMY IKE wa Nigeria maana nae anawapenda sana na ni rafiki yangu mkubwa..hayo yalikua maneno ya Ernest.

4 comments:

Anonymous said...

Kaka Kanumba, hayo maneno ya watu yachukulie kama changamoto kwako. Kwa upande wangu,napenda sana kazi zako, pia nakupongeza kwa mafanikio uliyoyapata hadi sasa. Cha msingi kaka, kama unazo kazi nyingi, basi wakati wa likizo fupi, chukua walau kozi fupi ya Kingereza, kwa ukweli, bado una matatizo ya kujieleza, nadhani unachohitaji ni confidence, pia jinsi ya kutumia Present, Past na future tense...ni hayo tu kaka, nikutakie kazi njema.

Mdau,

Sweden

Anonymous said...

dats one step foward bro...piga kazi achana na maneno ya watu...ukweli ni kwamba bongo hii kwa wanaume unafunika.nyc tym

Anonymous said...

Kanumba yaani wewe ni mzuri sana nikikuona uwa nachanganyikiwa kabisa.
Ila ukiacha kuvaa hayo mapete yakon makubwa kama ya kusafisha nyota,utatupagawisha madada wengi zaidi

Anonymous said...

BAC BWANA HAYAISHI TU WE MWANAUME ENDELEA KUPIGA KAZI ACHANA NA MASHAIRI HAYALIPI HAYO YALISEMWA NA YAMEPITA RELAXXXXXXXXX