Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 4, 2010

Jinsi Bonanza llivyoenda J'2 iliyopita...

The Great akiwa na Pacho Mwamba wakijaili jambo katika bonanza...

Wadau wakiwa wamepandwa mzuka na Bendi ya Diamond Musica ilipokuwa inatumbuiza

The Great (Kati) akiwa na Immaculate (kushoto) pamoja na Thea (kulia) katika pozi..

Wadau wakiendelea kupata burudani kutoka kwa bendi ya Diamond Muzika, shoo nzima (Bonanza) iliandaliwa chini ya Udhamini ya tiGO

2 comments:

BQ said...

nimefurahi sana kukuona na dada Thea jamani nampenda sana kwani yuko juu sana ktk kuigiza ila nashangaa mbona humushirikishi sana ktk movie zako?mana naonaga mara chache.

Anonymous said...

KHA WEWE KANUMBA HERINI ZA NINI JAMANI,MBONA UR GOOD BILA HIZO