Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 22, 2010

MERCY JOHNSON AZIDI KUITIKISA NOLLYWOOD(NIGERIA) 2010.

akijiandaa kushoot

katikati ya scene akiwa na director wangu Femi Ogedebge.

akiwa shuleni akishoot kama mwalimu.baada ya kumaliza kushoot akipiga picha ya pamoja na walimu wa shule hiyo

akisubiri action toka kwa director

akijadiliana na crew ya production kuhusu moja ya scene za usiku.

Jimy Ike na Mercy Johnson katika scene.

Akiwa na Olu Jacob katika moja ya scene za majonzi mjini Lagos.

katika pozi baada ya kumaliza kushoot.

akiwa katika scene za nje.

Hiyo ni master sht.
4 comments:

Anonymous said...

safi sana kaka kama hivyounatuletea habari za mastaa mabali mabali tunapata kuona kazi zao.
mi swali langu ni vp unaonekana uo karinu sana na Mercy na Nkiru tu? ndo watu ambao umewashirikisah pia kwa filamu zako vp kuhusu mastaa wengine hujawwahi fikiria?
watu kama Nonso,Desmond,Michael,Ramsey,Omotola,Genevieve,Monalisa ,moreen,Ini edo na wengineo

kanumba the great said...

usijali anonymous no 1 nakuletea habari zao soon

Anonymous said...

SAFI SANA KANUMBA MAMBO YENU MAZURI NIMEONA KAZI ZENU ILA UNATATIZO KIDOGO KATIKA KUTUFIKISHIA UJUMBE KATIKA HIZO PICHA UNATUMIA ANA ANA NYINGI SIDHANI KAMA NISAWA TOA MANENO MACHACHE YANAYOELEWEKA HATA KIGOSI ALIKUWA NA TATIZO KAMA LAKO ILA YEYE ALIKUWA ANAPENDA KUSEMA JAMANI JAMANI KIBAO