Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 25, 2010

Kitu changu kipya, "THIS IS IT". Hii si ya kukosa...
Mashabiki wangu na wadau mbalimbali hii ni Filamu yangu mpya itakayotoka hivi karibuni, imetengenezwa chini ya kampuni yangu ya Kanumba The Great Film, hivyo kaeni mkao wa kula mengi nitawajurisha hivi karibuni, hii si ya kukosa. Akhsanteni sana.

Bonyeza kifungo cha "Copy Tangazo" ili u-save kwenye Kompyuta yako Tangazo hilo hapo juu

12 comments:

Anonymous said...

mmmh kaka kumbe nilipatia ni mimi dada ako.unajua wasukuma ni watabili bwana si unaona sasa.kaka lakini umenisusa sana mbona?
dk.

Anonymous said...

mmmh kaka kumbe nilipatia ni mimi dada ako.unajua wasukuma ni watabili bwana si unaona sasa.kaka lakini umenisusa sana mbona?
dk.

machuma said...

poa mzee tupe mambooo!

Anonymous said...

Kaka hongera sana,sasa kaka uanze kwenda gym ili kwenye movie zingine uwe unavua shati unabaki kifua wazi,it is so Sexy sexy sexy,
Love ya

Warning: msivue mashati kama mna manyama uzembe uwa inatia kichefuchefu

Anonymous said...

Hello Kanumba, i do not know if you will read this msg, but let me tell you that i do appreciate what u do, i watch your movies and i like them the way i like you. Congratulation.

Anonymous said...

Hello Kanumba, i do not know if you will read this msg, but let me tell you that i do appreciate what u do, i watch your movies and i like them the way i like you. Congratulation.

Anonymous said...

bravooooooooooooo kaka, ila natamani hiyo THIS IS IT itoke leo, ninausungo nayo ile mbaya.


good job ma man.

cheers

Anonymous said...

bravooooooooooooo kaka, ila natamani hiyo THIS IS IT itoke leo, ninausungo nayo ile mbaya.


good job ma man.

cheers

Anonymous said...

Ushauri kwako actor, jifue sana mazoezi ya viungo maana unapenda nguo mediun size, kifua hakijakaa fresh. Jitunze mkubwa si unaona wasanii wenzio kama kina Chris Turker, kina Eddy Murphy n.k wapo mo kinyama lakini mafuta mwilini hamna? Jifue mwana. otherwise keep fighting and even on negative comment directed to you there is positiveness, so accept all the challenge for the positive Kanumba. Kingine jaribuni kupeana muda sokoni kwani mnafyatua filamu mapema mno, na punguzeni Part 2 zisizo na maana kwani binafsi nlikua nanunua filamu zenu lakini tangu mlipoanza biashara ya Part 2 naona thamani ya hela yangu inakua kubwa mno kulingana na burudani ndani ya Part 2, kwani nyingi huwa si nzuri ikilinganishwa na suspence inayosetiwa mwishoni kwenye part 1

Anonymous said...

kaka ina maana unatoa movie ngapi make Dec umetoa mbili kw mpigo sasa hii Feb nyingine in maana movie bongo ni mwezi mmoja tu lo kweli ubora upo au ni maigizo mkubwa angalia na ubora kaka ni ushari usidisi bali ni ushari mjomba

florah said...

Tunasubiri kwa hamu sana i hope itakamata mbaya.
Florah

Anonymous said...

napataje movies zako zote kaka?me ni new fan wa bongo movies

nipo mwanza,nipe anwani au nia ya kupata movies zako zote

seriously