Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 24, 2010

Mhhhh!! Humu kunani tena?


Ha ha hah hah ha ha ha ha ha haaaa!! Anonymous wa Tar 20, alikuwa sahihi kabisa, Jamani washika dau nimewaletea Kitu balaaa, Yaaani Balaaaaaaa kitu kipya. Hii kitu inakwenda kwa jina la "THIS IS IT". itapatikana madukani kuanzia muda si mrefu. Pata nakala yako katika DVD, VCD au VHS. Akhsanteni sana kwa Ushirikiano wenu, tupo pamoja!

4 comments:

Anonymous said...

HONGERA SANA KWA USHINDI KANUMBA . NENDA KAJIONEE GLOBALPUBLISHERSTZ.COM. ULIVYOPATA MAKURA . DHIDI YA SWAHIBA WAKO. ILA NAYE ANAJITAHIDI. HONGERENI WOTE

Anonymous said...

hongera sana kanumba,
na mimi ni mpezi sana wa glob yako, ila unaniboa kitu kimoja,

Mtu akifungua blog yako atakuta habari leo mfn tar, 20/02/10, hizo taarifa zitakaa kama wiki nzima, jaribu kutafuta habari bwana, na so lazima uweke wasanii tupu, no kuna vitu vingi hata mitaani kuna mambo mengi, ili mtu hata akifungua anajua atakuta kitu kipya, but hii ya bba na swahiba wako ray kama wiki sasa du! ni hayo tu wangu.

aisha

Anonymous said...

umo kuna movie kaliiii sana inakuja uo ndio mtazamo wangu

Anonymous said...

yeah Aisha yupo Right, me nakufagilia sana Kanumba kwa Movie zako ni nzuri kiukweli ntaitafuta hiyo inayokuja, mana mm huwa nikiona cover lina picha yako tu ndy nanunua otheriwise sinunui, nakuadmire sana, keep it up, sasa narudi kwenye suala la blog yako, ni kweli mara nyingi huwa naingia kwenye blog yako ila naona mambo ni yale yale hakuna habari mpya habari moja inakaa zaidi ya wiki najua upo busy ila jitahidi kutufurahisha washabiki wako my Bro. poa poa Mungu wangu na akutangulie katika kazi zako.

Furaha wa mabibo Engo