Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 7, 2010

SIKU THE GREAT ALIPOTUA SOUTH AFRICA KWA AJILI YA KUSHIRIKI BIG BROTHER REVOLUTION....mengi yalisemwa sasa huu ndio ukweli.

THE GREAT na watoto wa shabiki wangu wa South Africa(Thandiwe)nje ya hotel niliyofikia ya DON SUITE.

Me,Thandiwe na wanae...hapa nilivunja sheria kidogo maana kabla ya kuingia ndani ya nyumba ya bba sikuruhusiwa kuonana au kupiga picha na shabiki yoyote.

shabiki mkubwa wa filam zangu(BUYI) ambaye ni raia wa huko akinipa zawadi ya glass zenye jina langu nje ya hotel...Thank u buyi.

KANYE MBAU,THE GREAT PIONEER,NA NONHLE NTHEMA..tukiingia katika mkutano katika ofisi za kampuni ya ENDEMOL siku moja kabla ya show ya bba.

THE GREAT NA NOHNLE KATIKA POZI.

KANYE NA THE GREAT.

THE GREAT NA ERNEST..huyu ndiye aliyekua akisimamia mambo yote ya usafiri toka airport,hotelini,endemol,mnet.n.k

edward maphophe na the great...huyu ndiye aliyekua production manager wa endemol katika bba mara kadhaa nilikua nikiwasiliana nae kabla ya kutua SA.

THE GREAT NA MKURUGENZI MTENDAJI WA MNET-AFRICA  BIOLA ALABI HAPA ALINIALIKA OFISINI KWAKE KWA MANYWAJI NA MAONGEZI KIDOGO.

BIOLA ALABI NA THE GP.

TUVI JAMES,LIZA KLEITMAN,THE GP NA BIOLA ALABI ofisini kwa biola masaa mawili kabla ya kuingia ktk jumba la bba.HUYO MZUNGU NI LINE PRODUCER WA ENDEMOL ndiye wa kwanza kunitumia e mail ya kuniomba kuhudhuria bba wakati huo nilikua UK nikishoot filam ya lovely gamble baada ya hapo alinipigia mara kwa mara ili kunipa habari juu ya mpango mzima.swali kwa wenye lugha yao..je tulikua tunaelewana?kama hapana niliwezaje kufika hapo?ahahahah

The great na Tuvi james tukielekea chumba cha make up kwa ajili ya kupakwa make up na kubadilisha nguo tayari kwa kuingia mjengoni kama starmet 

kanye mbau,the great,nonhle nthema na tuvi james dakika kama 5 baada ya kutoka ktk jumba la bba na kuingia moja kwa moja ktk ofisi za endemol.

ALIYEKUA MTANGAZAJI WA BBA REVOLUTION(IK) AKITUDAKA KWA AJILI YA MAHOJIANO MAFUPI MIMI NA TUVI BAADA YA KUTOKA NDANI YA NYUMBA..

HUYU NDIE ALIKUA DIRECTOR WA SHOW YA BBA REVOLUTION JINA NIMESAHAU KIDOGO MAANA NI GUMU TUKIPATA PICHA YA PAMOJA OFISI ZA ENDEMOL..KABLA NA BAADA YA KUINGIA BBA TULIKUA NA MAONGEZI NAE JUU YA SHOW HIYO.SWALI KWA WENYE LUGHA YAO JE TULIELEWANA???KAMA HAPANA ALIWEZAJE KUNIRUHUSU KUINGIA NDANI YA JUMBA WAKATI CELEBRITY WAKO WENGI AFRICA???

THE GREAT NA TUVI TUKIWA NA BRIAN KATIKATI OFISINI KWAKE TAYARI KWA KUPEWA KIFUTA JASHO CHETU JUU YA USHIRIKI WETU NDANI YA BBA.

TULIPOTOKA MJENGONI TULIRUDI HOTELINI KUPATA MSOSI NA KUANZA KUWATIZAMA WASHIRIKI WA BBA WALIVYOKUA WAKITUZUNGUMZIA KTK TV.NAISHIA HAPA ILA NTAENDELEA TENA.UJUMBE WA THE GREAT KWA JAMII NA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI....according to G.C.LINCHTBEGER...." The most dangerous  of all falsehood is a slightly distorted truth....according to SAMUEL TAYLOR COLERIGDE..."He who begins by loving christianity better than truth will proceed by loving his own sect better than christianity and ends by loving himself better than all....only truth will set us free.

13 comments:

Anonymous said...

Kanumba mbona yaliyaisha mbona unaanza malumbano mengine,kumwaga yai alifanyi mtu ashidwe kuwasiliana.

Anonymous said...

Kaka Kanumba,nadhani hakuna haja ya maelezo. Nadhani hao wanaopiga kelele aha English, mara nini huna haja ya kuwajibu. Cha msingi wewe endelea kujiendeleza na Lugha, hasa kuongea. Mimi nilifuatalia sana comments za watu hadi nikahamua kuangalia Video kwenye youtube, nadhani uliongea kama watanzania wengine tunavyoongea. Cha msingi kaka yangu wewe piga kazi. English siyo lugha yako ya kwanza. Ukweli ni kuwa unayo "heavy accents" nadhani ni mazoezi tu, halafu unatumia sana consonant + vowel vibaya, ndiyo hayo tu kaka.

Mdau

USA

BQ said...

sAFIIIIIIIIIIII sana kaka na hongera kwa kuenjoy na ujue kuwa we ni mtu mwingine hadi kupata chance kama hz ktk maisha,good keep it up, usijali sana maneno ya watu hayo huwa hayakosekani ni lazima yawepo tu we songa mbele tu.
am happy 4 u.

Anonymous said...

Yeah Bro Kanumba your write also dis motto pia "If you judge people,you have no time to love them By Mother Thresa RIP"Soo kaka jibu unalo sawa W'z

baby said...

kanumba nawe unakuwa mshamba mbona hayo mambo ni kipindi kidogo ndugu yangu ila elewa kuwa palipo na mafanikio hapakosi fitna walimwengu ndivyo walivyo kaka ni wakuwaacha huwa wanasema na usiku wanalala wewe piga kazi na jiendeleze kusoma hiyo lugha zaidi ili baadae wanapoongea wao wewe ndo kwanza wasonga mbeleeeeeeeeeeeee ila tu kuwa makini elewa maisha huwa yanabadilika kipindi hiki mungu kakushikia fanya maendeleo hata baadae yatakusaidia hayo si unajua maisha kama unavyoona siku hazigandi sawa kaka mungu azidi kukujaalia uzidi fanikiwa kila mtu anakula jasho lake wewe usijali walimwengu ni wakuwazoea waswahili midomo yao kuharisha ni vitu vya kawaida yao hawawezi acha asili yao na wanaoongea sana hao ni wachawiiiiiiiii!!!!!watajijuuuuu ok byeee is me baby nawakilisha

MG said...

Kanumba mi nadhani wakati mwingine jaribu kuchukulia mambo kwa mtazamo chanya, kwasababu kama kweli ulikuwa unakosea kuongea na watu wakasema kwani shida ni nini!!!??? hutaki kukosolewa unataka usifiwe uongo!!!???

Halafu pia wewe ni Celebrity sasa jifunze Communication skills usione tu watu wanakutakia mabaya, jaribu kufikiria kuwa wanakuwazia mazuri.

Mi nakushauri anza kujifunza namna ya kujielezea vizuri kwa kiingereza kwa sababu bba ni mwanzo mzuri wa wewe kuitwa kwenye mambo ya kimataifa. Ukiitwa kujielezea watu waelewe unaongea nini.

Mi ni hayo tu kaka sina chuki na wewe kazi yako naikubali sana, nimekwambia hayo kwa upendo kabisa naomba usinipige mawe.

MG

Anonymous said...

sasa kwa nini hizi nguo ulizopiga nazo picha hapo haukuzivaa kwenye BBA,mimi lile shati lako la pink kwa kweli nilikuwa silipendi,maana ni la pink then transparent.
yaani wewe kanumba unapendeza sana ukivaa simple kuliko kuvaa kipedeshee maana ur so handsome and some of us girls can't handle kabisa.

Pia napenda sana movie zako sana kupita maelezo sana na nafurahia jinsi unakuwa mkweli ndani ya movie zako,

Pia namuunga mkono mdau wa juu kwa kusema kuwa usijiite The great,inakuwa kama haiji vile halafu imekaa kimajivuno na ushamba kidogo.
sisi tunakupenda wewe kanumba and us we are very proud of u saaaan

Anonymous said...

ushauri wa bure hiyo cheni kiunoni vua wanaovaaga ni rock star sio mastar wote hasa kama wewe wa movie haikupendezi.mimi niko huku kwa wadhungu sioni wakivaa na wale wanavaaga mara nyingi kwenye show sio kwenye matembezi

Asajile said...

you know what! you are the star being so u need to accept challenges,there is this say by a Nigerian author,success belongs to the one who understand that discouragement is the fillip to succeed,making mistakes in English isn't a fellony.I observed this mistake in ua web,"the following are the movies I'VE WROTE" u were supposed to say I'VE WRITTEN.SO MAKOSA YAPO ILA TUJIFUNZE KUJIKOSOA NA KUKOSOLEWA.KINGEREZA SI LUGHA YETU YA KWANZA .KEEP IT UP UPO JUU

Anonymous said...

let kanumba be kanumba kanumba vaa unachotaka fanya unalotaka remember u cant please everyone....love u..

mdau wako

Anonymous said...

Hii ni society yenye watu wa aina nyingi sana, ofcourse wengi ni wapenzi wako wanakubali kila kazi yako, mafanikio, etc lakini mwenye mafanikio huwa hakosi wasiompenda il-hali tu na wao wametumia uhuru wao katika kuharibu au kutimiza nia zao. KAKA USIKATE TAMAA NDO MAISHA HAYA WALA USIWE DISCOURAGED NA WATU WASIOKUTAKIA MEMA. PIGA KAZI PANGA MIPANGO YAKO NA ENDELEA KUFANIKIWA.

Anonymous said...

kaka achana naoaowabonngo

Anonymous said...

kaka acha nao aowabongosonga mbele