Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 26, 2010

DESMOND ELLIOT-kutoka katika acting mpaka kuwa director na producer mzuri nollywood.

Desmond kutoka kushoto akiwa na Michael MAJID kulia muigizaji wa Ghana ambaye amemshirikisha ktk filam yake ya Holding hope kama alivyonambia yeye mwenyewe Desmond.

Akitoa maelekezo kwa wasanii wakati wa shooting yeye kama director wa film yake hiyo mpya.


Hii ni siku alipoizindua filam yake nchini Ghana.katika moja ya maonesho yake na wasanii wenzake kuitangaza filam yake.


Hii ni poster ya movie yake..big up my brother.


Wakati wa shooting ulikua hivi kajitaidi sana kuwashirikisha mastaa kibao katika movie yake kama unavyoona hapa yupo Ramsey nouh,Monalisa chinda...nk.yeye akiwa nyuma ya kamera akidirect.


Kutoka kushoto mwenye nguo nyeusi ni Nkem owoh(ousofia),desmond,2face,ramsey na Tuvi james katika democratic party ambao hualikwa watu maarufu nchini humo.


Hapa alikua MC katika shughuli fulani Nigeria akiwa sambamba na swahiba wake ramsey.


Hapa wakilishambulia jukwaa kwa shoo ili kuwaburudisha mashabiki wao.


Hapa katika pozi.kwa ufupi desmond kabla ya kuanza kuact alikua ni model baada ya hapo alianza kuigiza tamthilia kadhaa ndipo akaingia rasmi katika acting na kwa sasa ni producer na director Nollywood.swahiba huyu ameoa(Victoria Imabong) na ana mtoto mmoja..


1 comment:

BQ said...

SAFI SANA KANUMBA HABARI KAMA HZ NDO TUNAZITAKA ENDELEA KUTULETEA HABARI ZAIDI