Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 17, 2010

EUROPEAN FILM FESTIVAL ILIVYOFANA DAR ES SALAAM

Tamasha la film la EFF lililofanyika juzi lilifana vilivyo ambapo watu mbalimbali mashuhuri ndani na nje ya nchi walikuepo...zifuatazo ni baadhi ya picha za matukio ya siku hiyo. Tayana na mdau akimuuliza mawili matatu

Logo yenyewe ya tamasha ilivyokuwaSlyvia shally na Wastara nao walikuepo

The great na MC.George wa Global publisher tulikuepo

Sajuki,MC George na The great

mmmh The great na Wastara

Slyvia na Sajuki katika picha ya pamoja

6 comments:

BQ said...

HA HA HA, KANUMBA WEKA WAZI BASI KUHUSU HUYO SILVIA JAMANI MBONA WATU WANAKUSEMEA SANA?MI NINGEFURAHI SANA KUSIKIA KAURI YAKO WEWE MWENYEWE TENA KUTOKA KWA BLOG YAKO, ALL THE BEST KANUMBA MUCH LOVE

Johprise said...

Kwa kweli inaonyesha ilifana sana . i really love the couple, sajuki and wastara, we kanumba tupe maandalizi ya harusi yako basi vikiwemo vikao, usiniambie kwmb ni kweli u & slyvia need 2 get married, mmmmh 2dokeze kidogo basi kwenye blog, waiting u !

Anonymous said...

Kanumba fanya faster mwingize mtoto wakichaga ndani kabla hujawahiwa oooooooooo mtoto analipa bwana namkubali pia hana mascandle mnafaana saaaaaaaaaaana
usibane hii coment

Anonymous said...

I really like the couple, Steve & Sylvia for sure! fanya mazagazaga fasta kaka, mjini hapaaaaaaa!!!

samira said...

kanumba nipe namba ya wastara i need to talk with her pls bro

JELARD NEXT LEVEL said...

KWA PICHA KALI HEBU NICHECK BASI MAZEEEEE WWWW.jelardnextlevel.blogspot.com