Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 17, 2010

THE GREAT AWATEMBELEA WASHIRIKI WA KILI BONGO STAR SEARCH KATIKA JUMBA LAO.

Leo nilipata mwaliko wa kutembelea jumba la kili bongo star search kuongea na washiriki wa humo ambao walinikaribisha vizuri kwa nyimbo na chakula na kunitembeza sehemu mbalimbali za jumba hilo lililojaa camera kila upande zikirekodi kila kitu na kila wakati ikirusha live mfano wa Big brother house..Nashukuru sana waandaaji wa KILI BONGO STAR SEARCH HOUSE kwa heshima hii nzuri mliyonipatia. Bango la jumba

Kushoto ni producer wa kipindi hicho na kulia ni fundi mitambo wa kipindi hicho MR.Keppy ambaye pia ni mpiga bass guitar wa njenje

Nilipokelewa na Evelyn msimamizi mkuu wa kipindi hicho

Jumba linavyoonekana kwa mbali

Evelyn akinipa maelekezo kabla ya kuingia jumbani nikiwa karibu na mlango wa kuingia tayari kuwa liveeeeeeeeeee

Baada ya kuingia mlangoni nilipokelewa na mother house bi Natasha na kunipeleka kwa washiriki wa BSS

Chumba cha mitambo

The great ninavyoonekana katika monitor za mitamboni mara baada ya kujumuika na washiriki wa kili bss ambao walinikaribisha kwa chakula huku tukipiga stori za hapa na pale

Washiriki wa BSS

Mswali na majibu

Picha ya pamoja na washiriki ndani ya jumba

Mother house akifurahia ujio wangu ndani ya jumba

Evelyn akinirekebishia mic kabla ya kuingia mjengoni ili kila ntakachoongea kisikike vizuri mwishoni kabla ya kutoka niliwatakia washiriki kila kheri na kuwashukuru kwa ukarimu wao.

2 comments:

JELARD NEXT LEVEL said...

Mzuka sana jembe Kwa picha kali hebu nicheck www.jelardnextlevel.blogspot.com

Anonymous said...

MUNGU AKIKUPA KITUMIE VIZURI,UNAFANYA VIZURI KANUMBA,KAZA BUTI,REKEBISHA MAKOSA MADOGO MADOGO UTUNG'ARISHE HOLLY-WOOD KAKA KWANI HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA.

HATBAH