Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 25, 2010

GUESS WHAT????????????

Kuna nini hapa wadau? Uwoya

The swahiba's with Uwoya

Kanumba&Uwoya

Swahiba&Uwoya

Uwoya&The great pioneer

18 comments:

Majoy said...

Hapa lazima mtakua mlikua mnapiga picha za cover ya muvi mtakayocheza pamoja......tena inaonyesha itakua kali sana.

Majoy
joyce_mahila2000@yahoo.com

Anonymous said...

maana yake,kuna move mmecheza pamoja,irene,kanumba na ray.kanumba atakuwa bad boy,kwa ajili ya hiyo sigara mdomoni,na irene vilevile atakuwa na mchangato fulani,na wewe ray utakuwa good guy.kulingana na hiyo picha.

Johprise said...

Hope mnajiandaa kwa ajili ya movie yenu mpya, hizo ni baadhi ya picha mnachukua kwa ajili ya movie hiyo, sipati picha the great"s kwenye movie moja ! !

Do said...

7Hallo kanumba kwanza hongera sana crazy in love nzuri sana sana. Kaka unajituma kwenye kazi yako sio mchezo. Kwenye young bil. Watesa .more than pain unabebelea zege dah kimbia na ndoo sio mchezo . Halafu kwenye crazy in love vile unavyopekua kwenye mawe mawe yanavyouma jamani dah. Kweli unajituma sana. Nasubiri kwa hamu hizi zinazokuja esp. Hii ambayo unaact na irene na ray. Itakuwa bomba sana nawaamieni wote katika kazi zenu. Kila la heri.

Anonymous said...

We guess ni new movie ya manguli watatu wa tnazania kitu cha uhakika kinakuja ama sivyo jamani, tuambiane jamani lol.

Anonymous said...

Filam nyingine babukubwa iko mbion mlioshilikiana maswaiba,hope itafunika ya Opra.

Albert said...

Yawezekana ni advertisment ya kitu fulani mnataka kufanya.
Am I right?
Anyway, ninyi watatu tunawakubali sana katika anga la Bongo movies.
Albert
W.A

Milka said...

Hapa mtakuwa mnajiandaa kutupatia kitu kipya chenye mvuto wa kipekee kama kawaida yenu.Nahis hii itakuwa bab kubwa.Binafsi nawakubal sna,Big up!

Anonymous said...

huyo dada uwoya ndoa vpi ameachika nini mbona kila siku yuko bongo tu si ulisema unahamia srypus au huko nako umeharibu au unauza sura tu kama mke wa m2

Anonymous said...

Hapa mjaniandaa kutoa movi kali sana ya funga mwaka 2010. Maana vitu vyenu si haba, twavijua na ni wadau wa movi zenu

Anonymous said...

mnaona raha kumshika mke mtu namna hiyo,je mkishikiwa wake zenu namna hiyo mtafurahi?na wewe irene elimka wewe ni mke wa watu sio unaruhusu mwili wako kushikwa shikwa ovyo namna hiyo.

Anonymous said...

uwoya needs to exercise,apunguze tumbo.ana shepu nzuri ila kama hajawatch out,she gonna lose it.

Anonymous said...

na ye mwenyewe irene c anapenda kushikwashikwa,limenenepa kiuno kibayaa, kina manyama,hana ata mvuto siku hizi unene m`baya shauri yako

Lulu said...

Serengeti, Serengeti........!!!!!!

Anonymous said...

mke wa mtu kazini naona mbona flt uko nyuma au ndo bia na kitimoto,

Anonymous said...

hope it will be so dangerous coz we say it is three in one you guys you goner run tha filim markets.hope if its a muvi it will go multi platnum in the market.guys keep it up!

Anonymous said...

Hongera sana bro! Mimi sio mpenzi wa movie in general. Nilipokuja bongo last time ndio The young bilionaire ilikuwa inatoka. Mmachinga aliisifia sana hiyo movie mpaka nikainunua. Kwakweli ni nzuri mno. Wote mnajitahidi kuuvaa uhalisia. Gold digger alikuwa gold digger wa kweli.

Anonymous said...

Ni kweli Uwoya ana mvuto lakini akae mbali kidogo, Unajua Kanumba unaweza kuingia majaribuni!shauri yake....Kizito!!