Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 28, 2010

HAPPY BIRTHDAY AUNTY EZECKIEL

Leo ni siku ya kuzaliwa dada yetu na msanii mwenzetu maarufu wa filamu Aunty Ezeckiel Gwantwa Greyson Jujuman.The great na blog hii inakutakia maisha mema na marefu uzidi kuongoza vyema kampuni yako ya Cream entertainment na Pub yako ya Cream pub. Aunty katika pozi

Aunty na The great katika mojawapo ya scene katika shooting..

14 comments:

Anonymous said...

Happy birth day!!!!!! Utulie sasa maana umekua mtoto wa kike. Let your beauty be with purpose!!! Sio kutumiwa na mipedejhgeeeee!!

By the way una ngozi nzuri sana kip it strong!!!

Johprise said...

Happy birthday my dearest Aunt Ezeckiel ! Mungu akujalie afya njema na maisha marefu yenye mafanikio tele. Nampendaje huyu dada yaani we acha tu natamani awe rafiki yangu, The great plz niunganishe naye basi.

Anonymous said...

Happy Birthday Mrembo,kip it real always

Anonymous said...

hongera aunty kwa kutimiza miaka kadhaa,mungu akuzidishie maisha marefu

Albert said...

Lakini si vizuri kuficha miaka, kwani tungejua umri wake ndoo tungejua ni jinsi gani ya kumpa hongera. Mwambie aachane na mambo ya zamani-zamani, kukiri umri wako siyo kosa hata kidogo. Najua Aunty ni superstar ila nashangaa sana kwa hili!
Basi mfikishie huu ujumbe.
Albert
Western Australia.

Albert said...

Lakini si vizuri kuficha miaka, kwani tungejua umri wake ndoo tungejua ni jinsi gani ya kumpa hongera. Mwambie aachane na mambo ya zamani-zamani, kukiri umri wako siyo kosa hata kidogo. Najua Aunty ni superstar ila nashangaa sana kwa hili!
Basi mfikishie huu ujumbe.
Albert
Western Australia.

Anonymous said...

halafu kanumba unavopenda kukumbatia,duh kazi unaiweza

Anonymous said...

una miaka mingapi unaonekana umetumika sanaaaaaa alafu uko after money 2000

Anonymous said...

Wanadamu hawana jema wewe aunt Ezekiel mimi binafsi nakupenda sana na hata siku moja sijawahi kukinaiwa na kazi zako wewe uko juu wewe ni super star wa kweli, nakupenda Mungu akupe Haja ya moyo wakomaisha yako .

Anonymous said...

ingekuwa bithday inakuja otommatic na kutumika watu wasingependa kutimiza miaka yao unakuta mwanaume ametembea na wanawake 200 mwanamke naye hivyohivyo pangekuwa hapatoshi umempata wa kutulia nae maana na wewe moto wa kuotea mbali

Anonymous said...

pamoja na skendo zotee mamy mi nampenda sn anavyoigiza maana ananifurahisha haswaa akiuvaa usukani sijaona movie yake aliyoigiza au kushirikshwa imekuwa ya ovyooo.

marimar

Anonymous said...

Haya Gwantwa hongera uishi maisha marefu. Tafuta mchumba sasa maana umekua...........Kizito!!

Anonymous said...

Haya Gwantwa hongera uishi maisha marefu. Tafuta mchumba sasa maana umekua...........Kizito!!

Kokusima said...

amezaliwa 88 kama siyo 86 kati ya hizo mbili nimesahau. ila hashuki 86.