Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 30, 2010

HAPPY BIRTHDAY ZENA..

The great na Zena katika sherehe yake kariakoo

Tabasamu

Maya na Zena

Zawadi za mtoto aliyezaliwa leo..

7 comments:

Anonymous said...

hongera zena haya uzee unakuja uwo...

Anonymous said...

duh uyo maya limenenepa ka tembo mtoto pole wee

Anonymous said...

Its Abeid najuta kuondoka mapema....... loadz of luv.......@zynb

Anonymous said...

Its Abeid najuta kuondoka mapema....... loadz of luv.......@zynb

Anonymous said...

Its Abeid najuta kuondoka mapema....... loadz of luv.......@zynb

Do said...

Happy birthday Zena,

Comment ya ann. Hapo jun na baadhi wenye tabia kama hizi. Ndungu yangu katika maisha usipende kumkandia mtu hivyo alivyo na maumbile yake. Kuna namna ya kumwambia katika maneno ya kawaida sio kusema limenenepa kama tembo utafikiri unayemwa
mbia si binadamu. Najua wapo baadhi ya watu wenye kupenda kukandia watu na maumbile yao na wengineo kusubutu kuwaambia wenzao sura mbaya na mengine. Wanasahau kwamba Mwenyezi Mungu ana uwezo wa kuibadilisha kwa dakika moja hiyo sura nzuri ambaye yeye analingia na kukandia. Katika maisha binadamu inabidi tuepuke kukandia maumbile na maradhi. Nimeweka maradhi kwa maana kuna baadhi wanapenda sana kuwacheka au kukandia wenzao wakiumwa kesho unasikia mwenyewe anaumwa.

Anonymous said...

anony juu hebu kwenda kulee,unene mtu anaukaribisha mwenyewe kulakula ovyo afanyi mazoezi,na ww mmojawapo umenenepeana ndo mana limekuchoma nyoo utanuka.