Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 14, 2010

URBAN TOUR

Urban pulse creative ikishirikiana na Aset inapenda kuwataarifu wadau wote wa muziki wa bongo Flava na Hip Hop kuwa imeandaa tamasha maalum linaloitwaURBAN TOUR ambapo msanii Diamond kutoka bongo anayetamba na kibao chake chaMbagala atakuwepo hapa ukerewere kuanzia mwezi wa November mwaka huu. Wasanii wengine ni Pamoja na First lady wa Urban Pulse Mish Ze Fyah Sis UKArtist anayetamba na single yake Freedom na I don't give a damn.Tamasha Hili ni kwa ajili ya kuchangia Vita Dhidi ya Malaria Afrika. Diamondni ambassador wa Malaria Tanzania na ndiye atakekuwa akiwakilisha.Shows Hivi zitafanyika tarehe 6th Nov Milton keynes, 12th Nov London and 27th Nov Birmingham.Stay tune kwa habari zaidi.Asanteni,*
Urban pulse Creative


Diamond msanii kutoka Tanzania


First Lady wa Urban Pulse Mish Ze Fyah

No comments: