Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 30, 2010

UNCLE JJ MDA WOWOTE ITAKUWA MTAANI..KAENI TAYARI

10 comments:

Anonymous said...

haya tunaisubiri,naona itakuwa bomba kishenzi,kama kawaida yako funikaaaa...

Albert said...

Yaani tunaisubiri kwa hamu na tunajua itatisha kuzidi hata More Than Pain, Crazy Love, This is it, Young Billionnaire,...
Albert
Western Australia!

Do said...

Hallo tunaisubiri kwa hamu hawa wototo nawaaminia sana . Walifanya vizuri sana sana kwenye this is it.

Anonymous said...

Hayo ni maigizo tu huwezi kucheza sinema nzuri kila mwezi haswa ikiwa wewe ndo kila kitu producer, editor, dierctor, costume and so on

Anonymous said...

NAKUAMINI BABA KAZA BUTI HAKUNA ZAIDI YAKO

Beauty Touch in Dar said...

ile CD ya this is it, nimeinunua imeangaliwa na wanangu hadi ss hivi inakwaruza, nataka ninunue nyingine tena, yani huwa nacheka mwanzo mwisho, kanumba hebu tuleteeni hiyo nayo tucheke, maana natamani nione jenifa alivyofanya mambo humo

naima said...

anony hapo juu acha kuponda ww,kama kazi rahisi igiza na we tukuone,usilete chuki zako hapa,akitoa kila mwezi,wiki haikuhusu ni kipaji chake mungu kamjaalia,na kazi zake zinakubalika acha mdomo.

Anonymous said...

Naisubiri kwa hamu. Ila kuna movie fulani ulikuwa unatuwekea picha zake hapa kwenye blog ambayo ulikuwa unaishoot kabla ya hii ya uncle JJ nadhani ulimshirikisha yule comedian ambaye mmeact pamoja kwenye filamu ya "magic house" na 'unfortunate love' Ulikuwa unaandika kwamba movie yenyewe itakuwa ni komedi.Hiyo filamu itatoka baada ya 'uncle JJ' au project ilishakufa?

Anonymous said...

I can say this no sucess without disappointment so no matter wat they say ur the great even if they say u can't realize the movie every month but u stil do it & u do it mo than excellent i dont even know how to put it.Big up the greater.

Anonymous said...

ha ha hii movie kiboko hasa huyo mtoto msichana na kithembe,lols kanumba u cracked me out kwa uoga wa uyo mtoto,great movie,,,