Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 17, 2010

RADIO FRANCE INTERNATIONAL YAMTEMBELEA THE GREAT

Radio ya kimataifa iliyopo hapa Dar es salaam na makao makuu yake Ufaransa ilinitembelea kunihoji mambo kadha wa kadha juu ya maisha yangu na sanaa yangu kwa ujumla, The great nikihojiwa na mtangazaji wa radio hiyo MR.EDMOND

Hapo kabla ya kuanza kunihoji alianza mwenyewe utangulizi akisema hii ni radio France internationale ambayo leo imemtembelea Steve Kanumba The great msanii wa filamu.......

Mr.Edmond kabla ya kuanza alinipa utambulisho wake kwa kunipa bussiness card yake ili kunihakikishia kuwa nimetembelewa na mtu makini kabisa aliyetumwa kazi moja tu ya kunihoji maswali ya mashabiki

Akipitia script ya maswali yake kuhakikisha kama kila swali alilopanga kunihoji kaniuliza na hajabakisha.Asante sana Radio France internationale(RFI) karibuni tena na tena

2 comments:

Anonymous said...

mambo k,
kanumba please sisi ni mashabiki wako, tungependa kujua wewe na silyvia shali mkoje mbona mnatuzuga jamani, pls kama mm nakufuatilia sana kwa kua napenda kazi zako na mchango wako ktk jamii, tuweke plain kaka,

esther dar

Anonymous said...

Mapenzi nafikiri ni mambo yake binafsi ila mimi pamoja na kumpongeza kwa hatua aliyofikia napenda pia kumshauri bro kujaribu kuwa na taste nzuri kwenye muonekano. Kama hapo amevaa pensi na tai sijakubali kwani anaonekana kama limbukeni wa fasheni. Nafikri kwa hapo ulipo sasa una uwezo wa kumuajiri stylist akupangie jinsi ya kuvaa na kwa ocassion mbalimbali. Hongera kwa juhudi zako zilizokufikisha ingawa kwa upande wa ubunifu na uprofeshno bado una mapungufu bro. Kila la heri