Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 20, 2010

KEVIN WA NIGERIA ATUA BONGO KUKAMILISHA MIPANGO YA HARUSI YAKE NA ELIZABETH GUPTA

Mshindi wa Big brother revolution mwaka jana KEVIN CHUWANG akiwa na familia yake ametua hapa bongo kwa ajili ya kutoa mahali ya dada yetu Elizabeth tayari kwa maandalizi ya harusi yao itakayofanyika mwezi wa pili mwakani.Katika moja ya vikao vyake hapa Dar Kevin aliniita ili kushauriana mambo kadha wa kadha juu ya harusi yao lakini pia juu ya project zake anazotarajia kufanya Africa mashariki.Binafsi nilianza kujuana na Kevin katika jumba la big brother revolution mwaka jana ambapo mimi nilikuwa humo kama star mwalikwa tu,wakati naondoka katika jumba hilo baadhi ya housemate kama Hannington,Leonel nk waliniomba nguo zangu lakini Kevin yeye aliomba nimpatie jina la The great,nami nilimwita Kevin The great nikimwambia kuwa atakuwa the great wa jumba hilo,hatimae alishinda na kuzidi kuwasiliana nami. The great nikisalimiana na Kevin

Kevin akinikaribisha nikae

Kevin,The great na Eliza

Ndugu baadhi wa Kevin.

Kulikuwa na sahani ya kiti moto kwa kwenda mbele

Nani anakutumia msg hapa na mimi niko hapa??

Story za hapa na pale

10 comments:

BQ said...

WOW SO LOVELY JAMANI TUNAWATAKIA KILA LA KHERI

Anonymous said...

i like your movie but,mpaka uwa ambiye watu wote kuwa kuna mtuu ali kuomba nguo? no brother

Anonymous said...

Du kumbe mpo cheaper hivyo...

Anonymous said...

mmmh kanumba unapendwa.. hongera zako bwana

Anonymous said...

mh napenda sana msimamo kama huo.na nawapa sana hongera na nawatakia maisha mema,inapendeza kwa kweli.

Anonymous said...

i really like the boy..He is great...with them all the best...big up yoself KEVIN and elcome to Tanzania again and again and again

Anonymous said...

Hivi dada Eliza hayo ni mapenzi ya kweli kweli? Mbona kwenye jumba ulikuwa hauna time naye, uliposikia tu kashinda anamijipesa ukamkubali? I dought!

Anonymous said...

wabongo bwana achen eliza ajilie kwa raha, mapenzi ya kweli we unayajua? wivu tu mwaya eliza kwa raha zako wataisoma nambaaaa na bado

Anonymous said...

All the best Kevin & Eliza, May God unite u in holly marriage guys. Wote tuliona katika BBA Revolution kuwa baadhi ya housemates walimuomba Kanumba nguo kama suvenia so usimshambulie Kanumba kuwa kwanini kapublicize. And it's true that Kevin asked for The Great ambayo Kanumba likubali akamuambia u'll be Kevin The Great.

Anonymous said...

ELIZA MARRIAGE IS NOT A JOKE MY DEAR,SIKUTISHI ILA IT NEEDS MSIMAMO NA MAAMUZI YA KWELI,ILA ITS GOOD AIDIA KUOLEWA KWANI NI HESHIMA SANA.USIENDE KUJARIBU BWANA,KUA MAKINI IF THAT'S UR CHOICE NAKUTAKIA MEMA MAMMY.

TRY TO FACE ALL THE CHALLEGES IN FRONT OF YOU,JITAHIDI MZIKANE.

HATBAH