Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 16, 2011

FILAMU CENTRAL WALIVYOTOA TUZO KWA WANA FILAMU

Mtandao wa filamu maarufu wa filamu central kupitia mpambano uliokuwa ukiendeshwa humo,juzi waliwapatia washindi tuzo zao ambazo nami nilichukua zangu pamoja na mwanangu Jennifer. Proff.Martin Mhando akimkabithi JENIFER tuzo yake ya msanii bora chipukizi 2010 kupitia filamu ya This is it.

Jenifer akishukuru

Me na Jenifer tukifatilia mchakato

The great nikipokea tuzo zangu mbili toka kwa PROF.Martin Mhando ambazo ni BEST ACTOR na BEST PRODUCER(2010)

Nikishukuru

Uncle jj na Jenifer tukiwa na ushindi wetu

Mama mzazi wa Jenifer(rose)akishukuru kwa tuzo ya mwanae

Nikiwakilisha kampuni ya Game 1st quality ambayo imechukua tuzo ya kampuni bora ya usambazaji filamu nchini.

ALLY YAKUTI(kushoto)ndiye mwandishi bora wa filamu 2010 kupitia filamu ya CRAZY LOVE,MONALISA(kulia) ndiye BEST ACTRESS 2010.

Mgeni rasmi na mkurugenzi wa ZIFF,PROFF.Martin Mhando akitoa nasaha zake

Washindi

picha ya pamoja tuliobahatika

The great na Ally yakuti

Jenifer na Ally yakuti

Jenifer na tuzo yake

Stafford Kihore mmoja wa waandaaji wa tuzo hizi na pia stuff wa filamu central.

SWAHIBA nae akichukua tuzo zake tatu moja kama BEST DIRECTOR 2010,ya pili movie yake ya Danger zone imechukua tuzo ya kuwa na cover bora,ya tatu ni kampuni yake ya RJ kuwa kampuni bora ya utengenezaji wa filamu 2010.Hongera sana swahiba..

Akishukuru

Baada ya zoezi hili kulikuwa na makulaji kama unavyoona tukiwajibika

No comments: