Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 8, 2011

HAPPY BIRTHDAY THE GREAT.........

Mimi STEVEN CHARLES MESHACK KUSEKWA KANUMBA mzaliwa wa Shinyanga,Leo tarehe 8 mwezi wa kwanza 2011 natimiza umri wa miaka 27.Asanteni sana.
The great pioneer.

41 comments:

SIMON KITURURU said...

Hongera Mkuu!

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Hongela namhala. Seba Agulang'hane na gugutongela mu shiku jako jose. Nakulombela bupanga ubebe pye ni kaya yako na bitogwa bako. Mulungu Akujiwe shiku welelo na welelo. Ibize Chene!!!

(Tafsiri) kwa mtakaolalamika!!!

Hongera mkuu. Mungu Akulinde na kukutangulia katika siku zako zote. Nakuombea uzima wewe pamoja na familia yako pamoja na wapendwa wako. Mungu Atukuzwe milele na milele. Amen!!!

Anonymous said...

Hongera kwa kuuona mwaka ndugu yangu. Kuongezeka miaka si kuzeeka ila wingi wa hekima, busara na majukumu vile vile. Barikiwa uione na mingine zaidi.Happy birthday.

Anonymous said...

Hongera kwa kutimiza miaka ya kutosha. Mungu akupe urefu wa umri na kazi isokuwa na bugudha.

Kwa umri wako sasa inakubidi kuandaa picha mbalimbali zitakazokuja kutoka miaka ijayo.
Mfano unaweza kucheza picha leo itakaytoka mwaka 2016 au mwaka 2027 kipindi hicho wewe nguvu ya kufikiri itakuwa imepungua hivyo utakuwa ukila matunda ya jasho lako ndivyo wasani wengi Duniani wanavyofanya.Ni mtazamo wangu..........Kizito!!

Anonymous said...

Happy Birthday kaka and many happy returns,Mungu akutunze na akupe haja ya moyo wako,mimi ni shabiki wako sana

Anonymous said...

Happy bday uncle JJ

Anonymous said...

HONGERA KUFIKIA UMRI HUO, MWENYEZI MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU YENYE BARAKA TELE. HAPPY BIRTHDAY THE GREAT.

tumaini said...

happy birthday to u! stay blessed

Anonymous said...

hongera sana bro kanumba..mimi na familia yangu tunakutakia happy bday njema.na iwe siku yako ya baraka.hongera mama kanumba


dada
sanura...dk.

Anonymous said...

happy birthday kanumba

Stella said...

HAPPY BIRTHDAY!

Hongera sana kaka kwa kutimiza miaka 27, Mungu akujalie uongeze bidii katika sanaa pia malengo yako yatimie ya kuinua vipaji vya watato.

stella Kunambi.

Stella said...

HAPPY BIRTHDAY 2 U!

Hongera sana kaka kwa kutimiza miaka 27, Mungu akujalie malengo yako ya kuinua vipaji vya watoto yatimie. Happy birthday uncle jj.

Stella Kunambi.

Anonymous said...

HAPPY BIRTHDAY KANUMBA MUNGU AKUONGEZEE MIAKA MINGI ZAIDI NA ZAIDI ABARIKI NA KAZI YAKO KANUMBA NAOMBA UTAFUTE MCHUMBA SASA KWANI MAISHA YA UJANA YAMETOSHA TAFUTA MWENZA NA MUNGU AKUONGOZE NA HILI GOD BLESS YOU

Anonymous said...

duh mbona unaonekana kama uko late 30s kanumba! by the way happy bday umezaliwa tr sawa na mwanagu Nic yeye anatimiza 15.may God bless u guys

Anonymous said...

Ish! Kumbe chuchuchu? hongera mimi nilidhani ushafikia 30 za mwanzo, kaza buti umeanza kujikimu mapema vizuri

Anonymous said...

Happ birthday K. Mungu akupe maisha marefu uone wajukuu wa watoto wako. God bless u

Anonymous said...

Happy birthday K.nakutakia maisha marefu na yenye amani Mungu akutunze

Anonymous said...

Hi The GREAT...congratulations on this wonderful day "happy Birthday"
Long life & God bless You....

cul gal said...

Hongera sana wangu, nakutakia maisha marefu na mema kabisa, Mungu akutangulie kwa kila jambo jema ufanyalo. Inapendeza.

Anonymous said...

Happy B'Day "The great" Mungu akutangulie kwa kila jema ulipangalo na ulitendalo...Maisha marefu na yenye hekima YAKUTAWALE...Kazi zako zizidi kukubalika na kufundisha jamii..."Tunakukubali"

frm: Abou(Twalib)& family in Dk

Anonymous said...

Less than 30 na una maendeleo hivyo!!! Big up Kanumba! Nilidhan upo kwenye 30's hivi!!! Hongera sana! Kaza buti baba usibweteke! What I like I about u ni kwamba watu wanakukatisha tamaa na maneno yao ya kipumbavu lakini wewe unasonga Mbele! Dedication yangu kwako siku ya leo ni wimbo wa Bahati Bukuku "Songa Mbele" Barikiwa kaka

Anonymous said...

Happy Birthday Kanumba!

prisca said...

Happy Birthday Kanumba

Albert said...

Hongera sana Bro kwa kufikia umri huu, Mungu akuongezee miaka daima na daima na azidi ku improve kipaji chako cka ku act ili mafundisho yako azidi kuilea kuionya na kuikanya jamii ya wa Tanzania na walimwengu wote kwa ujumla!
Happy Birthday!

Do said...

Happy birthday Kanumba na heri ya mwaka mpya. Mwenyezi mungu akubariki katika kila kitu ufanyacho.

Do said...

Happy birthday Kanumba na Happy new year Mwenyezi Mungu Akubariki katika kila kitu ufanyacho.

Anonymous said...

happy birthday!

swahilinews said...

Hongera kaka kila la kheri na mafaanikio mema

swahilinews said...

Hongera kaka kila la kheri na mafaanikio mema

Anonymous said...

mmhh kanumba huu ndo umri wako huu jamni mbona wewe ni mkubwa tumeimba wote kwaya shinyanga!! mbona ulikua tayari mkubwa unanizidi mimi na mimi sasa hivi 29, kwa nini mastaa wa bongo mko hivyo hata hivyo wewe bado mdogo ila taja umri wa kweli loooh......

Anonymous said...

mkuu hongera, kwa mafanikio ulionayo ukilinganisha na umri wako, yakupasa kumshukuru Mungu, Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni - nakutakia mafanikio zaidi na zaidikatika maisha yako.

The Kalija - Norge

Mama 2 said...

Hongera sana uncle JJ. Mimi na familia yangu tunakutakia maisha marefu. Umejitahidi sana katika umri huo mdogo umeweza kupiga hatua. big up bro!

Anonymous said...

Kanumba mimi ni G. Yaani bado una miaka 27 wow....wow, kwa nini tunaficha umri wetu? wow, wow, 27 years.....wow

Anonymous said...

Uncle JJ, Mungu akupe miaka 27 mingine kama hyo.


Mdau

Anonymous said...

happy birthday Kanumba, God bless u!

Anonymous said...

happy birthday Kanumba, God bless u!

Anonymous said...

hongera sna Kanumba,Mungu azid kukupa afya njema na uzima ili uzid kutupa raha watz.

Anonymous said...

mmh, miaka 27 ya kweli Kanumba? i doubt

Anonymous said...

happy birthda the great but jamani huu umri aliandika hapa si wa kweli coz mie kanumba nilisoma nae na alikuwa mkubwa kwangu nimeshangaa kuona eti ana 27 wakati mie kwa sasa nipo 30 hv kwani ukisema kweli kuna tatizo gani jamani ww kama star unatakiwa uwe mkweli.

Anonymous said...

Kanumba unaboa kweli,ni heri usingetaja umri wako kabisa,27 my foot.Keep in mind age ain't nothing but a number,kutudanganya umri sio fresh kaka,kwani hata ukisema una miaka 35 au 34 kuna mtu atakuja kukushikia mtutu kichwan? grow up man! najua mastar wengi wanamichezo wanadanganya umri kwa ajili ya maslahi yao binafsi lkn wewe kudanganya uma hili tu uonekane kwamba ni kijana mdogo mwenye mafanikio unajidanganya kanumba,be real,all in all i wish yuh happy birth day.

King Kong.

Anonymous said...

Kanumba,kumbe unatumia mkorogo Jan ITV nilikuona katika mchezo wa JAHAZI! DuH. Kwakwi nilishangaa sana,ulivyokuwa mweusi enzi hizo na sasa nashangaa umekuwa mzungu....