Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 29, 2011

THE GREAT NDANI YA VOICE OF AMERICA(VOA)WASHINGTON DC.

Nimepata mwaliko wa kutembelea voice of America na kufanya interview tatu tofauti yaani ya redio,ya TV kwa lugha ya kiswahili na ingine kwa lugha ile yetu ya Kiingereza chini ya mtangazaji mahiri kabisa MR.SUNDAY SHOMARI,Baada ya interview nilipewa zawadi nzuri ambayo nami nachukua nafasi kushukuru sana kwa zawadi na kupewa heshima hii ya kukaribishwa VOA sehemu kubwa ya kimataifa na yenye heshima. Nikivarishwa mic tayari kwa interview
Sunday,the great na dada sharifa
Bosi DR.Mwamoyo Hamza,the great na dada sharifa

Sunday Shomari akijiandaa kuanza kipindi
The great nikirekodi tangazo la VOA yaani mimi steve kanumba na unatizama Swahili VOA
Kibao kikielekeza unakostahili kwenda
Sunday Shomari na Steven Kanumba katika logo ya VOA
Interview ikiendelea
Kwa raha zangu nikijibu maswali kwa uyakinifu
Taa za production zikifanya kazi yake kwa juu
Camera zikiwa sawia kabisa kwa kazi
Hii ndio VOICE OF AMERICA
The great na Father Bandawe alikuja kuniona ninavyofanya interview
The great na producer Duane Collins
Nikipokea zawadi yangu toka kwa DR.Mwamoyo Hamza ambaye ndiye mkuu wa kitengo cha kiswahili VOA.Nikashukuru sana kwa hili.
SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KABISA ZIWAENDEE:-Dada Sharifa Kalala(WORLD BANK),DR.Mwamoyo Hamza(VOICE OF AMERICA),Sunday Shomari(VOICE OF AMERICA)Mungu azidi kuwabariki.

23 comments:

Anonymous said...

big up,u are the best

Anonymous said...

kwakweli katika uvaaji ndugu yangu bado ni zero!!

Anonymous said...

WACHAWI WAFE UKO JUU KAKA.

Anonymous said...

We unayesema uvaaji ni ziro una maana gani?hiyo ndio stail yake unique yeye ni artist bwana mbona watz ushamba sana?Me I'm luving young pipo wa kitz kwa kutafuta kwa nguvu zao watu km kina Kanumba,Jaydee na Ray na wengineo wanatumia nguvu zao kujitafutia maisha

Anonymous said...

Wewe Anony wa 2.56 PM acha wivu kama hajui kuvaa si yeye wabongo ndio maana hatuendelei kava Kanumba hajui kuvaa angevaa Michael Jackson ndio fashion nilazima tukubali Kanumba ni msanii lazima atoke kivyakevake kuanzia Gari adi mavazi kama limekuchoma jiangamize mara mia moja muosha kinywa wewe ovyoo, eti kuvaa zero unataka avae mlegezo kama wewe na mkweo wote mlegezo sasa hajulikani ubwabwa nani? Kanumba anavaa kiheshima na ni kijana mwenye kujua hapa nivae nini? sio nyie Harusi,Kazini,Jikoni,sokoni, kote mlegezo sijui mnauza au vipi? nakama mwanamke umechelewa Kanumba anaweke utabaki na majungu tayari tuna wifi yetu.

Anonymous said...

there u'r ma bro u deserve it kwa kweli bravoooooooooooooo c unajua no. zetu za tigo full mfanano check me thereeeeeeeeeeeeeeeeeeee weraaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

Nimekupenda mdau uliyetoa maoni ya mwisho, maana huyu mdau ukienda kwa RAY yeye ni mavazi akija kwa KANUMBA yeye na mavazi sasa hatujui anataka wavae chupi nje ndio wajulikane wanajua kuvaa.

Unatukera bwana au bibi unaona hawajui si uache kuangalia kuwa unalazimishwa????????????????? au si uache kucomment kwani ni lazima uweke comment yako hiyo hiyo tu?????????????

wewe bibi au babu umeishiwa na cha kuwashauri basi kaa kimya maana tumechoka na comment yako ya ku-copy na ku-pest.

UNAKERAAAAAAAAAAAAAAA?????????????? EBO!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

VUA ZAKO AVAE!!!!!!!!!!!!!!???????????

Anonymous said...

SWALI KWA WANAOPONDA UVAAJI WA KANUMBA.....

" Ni wasanii wangapi wanaojua kuvaa,kutoka Bongo waliowahi kufika HOLLYWOOD-Marekani ?"

Hii ni mara ya pili kwa Kanumba...

Ikiwa UUNGWANA haununuliwi..je kwanini tusibadilike na kuwa wastaarabu ? Kanumba hakuweka Blog hii ili watu wamfundishe kuvaa....

Chunguzeni kwa makini mtagundua kuwa: Ingelikuwa Kanumba ni Msanii kutoka Marekani na akaamua kuvaa vibaya-vibaya.."BASI WOTE TUNGEIGA UVAAJI WAKE"
Lakini tatizo anatoka Bongo....

Hongera sana Bw.KANUMBA

Anonymous said...

Big up kaka uko juu....

Anonymous said...

Big up kaka uko juu....

Anonymous said...

Big up kaka uko juu....

Anonymous said...

Big up kaka uko juu....

Anonymous said...

ukweli utabaki pale pale kuvaa kuendena na wakati, shughuli na mazingira kanumba hajui wacheni sifa za kijinga, mtu akiharibu mnasema hater, hater my foot, tukubali kukosolewa kuwa msanii si lazima atoke kivyake yeye haendi kwenye perfomance, unajidai kuchamba wakati wewe mwenyewe ndio wale wale lazima tukosoe akiharibu kanumba kimataifa tumeharibu watanzania sasa kwa nini tusiseme mbwa weeee unanitia hasira

Anonymous said...

ukweli utabaki pale pale kuvaa kuendena na wakati, shughuli na mazingira kanumba hajui wacheni sifa za kijinga, mtu akiharibu mnasema hater, hater my foot, tukubali kukosolewa kuwa msanii si lazima atoke kivyake yeye haendi kwenye perfomance, unajidai kuchamba wakati wewe mwenyewe ndio wale wale lazima tukosoe akiharibu kanumba kimataifa tumeharibu watanzania sasa kwa nini tusiseme mbwa weeee unanitia hasira

Anonymous said...

Sikiliza wewe kinyago usienabusara wa Anony 2.53 pm chuki zako kuhusu Kanumba kama mwanamke nilisha kwambia tunae wifi yetu,nakama mwanaume Kanumba hali Maembe ya kuchemsha, sasa utavimba shingo kwa gubu,eti akiharibu kimataifa tumearibu watanzania wote umesikia Kanumba anakwendaga kuuza uchawi huko kama wewe na aliekutuma umfuatefuate Kanumba mlivyo kuwa wachawi alafu eti nakutia hasira nilishakwambia kama limekuchoma kajiangamize mara mia moja kwanini uwachi uchawi wewe?.

Anonymous said...

Unapokuwa msanii (SUPERSTAR)ni lazima tukubali kuwa wapo watakao kufagilia,watakaokukosoa,watakaokushauri vyema,watakaokupoteza,watakaokupenda,watakaokuponda,na watakaojaribu Kukuchafulia jna kabisaaa...
Hata kama ni kweli Jamaa huju hajui kuvaa, na mmesha-comment saaaaaaaaaaaaaaaaana na vya kutosha na jamaa anaendelea kuvaa-vibaya,au labda ndio mwanzoo anazidisha kuharibu kabisaaa kimavazi....Mmemshauri lakini hashauriki...Je Hamjiulizi ni kwa nini anapokea comment zenu za kumshauri uvaaji au kumfundisha kuvaa,na hazibanii,lakini habadiki.....Mmmm mimi nahisi kama ni kweli hajui kuvaa..BASI HAREKEBISHIKI TENA na ATABAKIA NA UVAAJI WAKE HUO MILELE...

Anonymous said...

Anaziweka Comment zenu kwa sababu anawajiua ni wachawi la pili nikutaka kuwaonyesha kuwa mnachokisema ni majungu napia niwaosha vinywa tu hamumsumbui wala hamumzidishii wala kumpunguzia chochote chongeni mwisho mtajibeba yake yananyooka.Kama mnaweza pandeni juu mkazibe inaelekea mlizaliwa kwa bahati mbaya ndio maana mnachoyo wanga wakubwa nyieeeee.

Anonymous said...

Avae nyama kama lady gaga au!

Anonymous said...

Kanumba jaribu kumfurahisha kwa kupiga picha umevaa chupi ndio ajue unajua kuvaa labda anataka aone na ndani unavaa nguo ya aina gani.

Yaaani unaniboa kweli wewe unaesema kuwa wenzio hawajui kuvaa.

Labda tukushauri kuwa si unajua kuvaa??, Mshauri avae nguo gani wakati gani maana ukienda kwa vitendo na maelezo labda atajitambua kuwa hajui kuvaa!!!!

la sivyo basi kaa kimya kwani lazima usema wakati yeye habadiriki anaona yupo vizuri t

Maana utamu wa maeneo usikilizwe sasa hakusikilizi, si basi ndugu yangu si lazim kila unapofungua wavuti hii useme kuhusu mavazi

Na inavyoonyesha wewe ni demu basi acha huyo aliyenaye ndivyo anavyopenda avae hivyo. Hatobadirika kwa kuwa anamfurahisha anayempenda
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

MAVAZI HAYA HUUUUUUUUUUUUUUU BABU!!!!!!!!!!!!!!!! Tunachoangali hapa maisha yanaenda.

Utaponda sana kuhusu mavazi lakini yeye maisha yake yanapanda juu kila siku iendayo kwa Mungu na Mungu ahaachi kumbariki kijana huyu.


Vaa upendavyo na watakavyo kaka.

MUNGU AKUTANGUL KATIKA KAZI ZAKO!!!.

Anonymous said...

Hapa hakuna cha uhater kwa kweli hiyo ming'aro ya kanumba utadhani muimbaji wa taarabu, viatu ndo vichekesho mkuki kumoyo sijui vya chatu huwa anavipenda kweli. nunua magazeti ya cosmopolita, elle etc humo kuna fashion kaka, kuibukia ukubwani nako ni soo, punguza ming'aro na viatu vya mkuki kumoyo duh! tunasema hivi kwa vile tunataka uwe wa ukweli zaidi ni hayo tu.

Maangaza said...

safi kabisa hebu mpasheni huyu sijui kaka au dada ana wivu wa kijinga na utakufa nacho kijiba cha roho yeye yake yanamyookea