Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 16, 2011

UZINDUZI WA MJOMBA BAND ULIKUWA BALAA

Bendi mpya ya msanii mwenzetu Mjomba Mpoto ilizinduliwa millenium tower nakuhudhuriwa na mastaa kibao. Mrisho Mpoto akicheza na mashabiki

Aliyekuwa mshiriki wa tusker project fame Aneth nae ni mmoja wa wanamziki wa mjomba bend

Ismail nae anaunda bendi hii kwa vocal kali sana

Musa wa kipindi cha uswazi nae alikuepo

The great nilikuepo

Wacheza shoo pia wamo

Mjomba akiwa na furaha

Swahiba akielezea furaha yake juu ya bendi hii na akielezea tatizo la umeme.

The great nami niliitwa mbele jutoa machache

Nikielezea furaha yangu juu ya bendi hii lakini pia nikisikitika kwa tatizo la umeme nchini

Riche Richie nae alikuepo

Wadau

The great na Q-chieff tukiteta jambo

3 comments:

Anonymous said...

Sasa hawa watoto uliowaita wadau hapo Mwisho walikuwa wanafanya biashara gani ni kweli walikuja kumwangalia Mjomba tuu?...Kizito!!

mwana manyema said...

WADAU NAO WANA VISA...!

Anonymous said...

Hizo Nido nazo vipi jamani? ladies twajiabisha!!! mweee!