Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 4, 2011

SEND OFF YA ELIZABETH GUPTA YAFANA SANA

Aliyekuwa mshiriki wa Big brother mwaka juzi Elizabeth Gupta juzi tarehe 2 january kulikuwa na send off yake yenye hadhi ya juu iliyofanyika katka ukumbi wa Diamond upanga,na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wakwe zake toka Nigeria.

Wakati wa chakula

Kevin and Eliza

The great sikuwa mbali katka wali

Mastaa mbalimbali waliitwa kupiga picha na Eliza na KevinImaculate,The great,Eliza,Kevin na uncle LundengaKulikuwa na red carpet nami nilipita kwa raha zangu

Mboni na Shamim zeze nao walikuepoKamati

Mama Eliza akitunzwa

Eliza,Me na KevinThe great nikipata picha na warembo Penny na Naima

5 comments:

Anonymous said...

Lakini Kanumba tukikuuliza maswali huwa hujibu sijui kwa nini?

Haya nauliza hivi Huyu Eliza Gupta ni yule mtoto anaeitwa ELIZABETH GUPTA(Lulu)? kama ndio huyu Anakimbilia wapi mbona shule hajamaliza?

Kama siyo yeye(Lakini wanafanana sana) nimpe hongera kwa hatua hii ya kuwaheshimu wazazi.........Kizito!!

hamzaally82 said...

kanumba umefanya kazi nzuri hasa ulipo udhuria hio send off safi sana.... and congrat Elithabet n Calvin u gys rock!!!!!!!!!!!! Rich

Anonymous said...

Naomba nimusaidie kanumba kujibu huyu ni Elizabeth Gupta wa BBA na yule lulu mcharuko unayemsema wewe ni Elizabeth MIcheal(lulu).

Stella said...

Hiyo send off ni ya ukweli. sijui arusi itakuaje. Tunasubiri ya kwako nawe tuje tukuone, maana we upitwi na sherehe za watu kila sherehe umo.

stela.

Albert said...

Kila la herei Dada Elizabeth, ila ukifika Lagos usiache ku act utukumbushe mambo ya Danger zone!
Albert
Australia