Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 21, 2011

KANUMBA THE GREAT FILMS present..........

Hata nikiwa nje ya nchi lakini ofisini kwangu kazi zinaendelea kama kawaida na mwezi huu kwa kuanza mwaka naanza na hii...''DECEPTION''sina haja ya kuongea mengi hata kwa picha tu upekee na utofauti waweza tizama katika picha kwamba ni kivingine,,naanza kwa mbio mwaka huu,,kaa mkao wa tayari soon inakuwa mtaani,,,mashabiki wa kweli na wazalendo hununua copy original na si feki,lakini pia hawaazimani bali kila mtu hununua ya kwake tena original.''Mkataa kwao ni mtumwa''.....''Mcheza kwao hutunzwa''......''Tusitukuze vya nje na kudharau vyetu maana upendo wa dhati huanzia nyumbani na si ugenini,tujikubari sisi wenyewe kwa kupeana mioyo na kushauriana kwa njia na nia njema bila kutukanana wala kupondana maana lengo letu ni zuri kwa jamii....PATA NAKALA YAKO SASA.... poster lake....

Kanumba na Rose Ndauka ktk movie hii wakiwa katika mapozi tofauti20 comments:

Anonymous said...

unajitahd sana,mola akuongoze daima kanumba..

Do said...

Hallo Kanumba kila la heri sie tumekaa mkao wa kusubili. Rose namuaminia mara mwisho nimemona kwenye Mapito kacheza vizuri.

Anonymous said...

kazi nzuri kanumba napenda kazi zako unajitahidi sana na mungu azidi kukuwezesha lakini kanumba usichukie lakini mimi naona unapenda sana hiyo raba yako nyekundu sio kanakwamba ni mbaya lakini jaribu kumechisha japo na tisheti nyekundu au jakte au kofia ni hayo otherwise unafanya vizuri

Anonymous said...

Jaribu kuona namna ya kutoa film 2 kwa mwaka kisha fanya tathmini maana utoaji wa Film kila mwezi au kila baada ya muda mfupi zitakuwa siyo Film tena bali zinaweza kuwa ni Comedy ambazo hutayarishwa kwa muda mfupi.

Muungwana ni yule anayepokea maoni

Anonymous said...

mu├║ngwana ni yule mwenye kupokea maoni km mwenzangu alivosema hapo kanumba mara nyingi we hujibu mail wala commente hutoi wakati mwingine si za matusi ila zikikuponda tu basi unazibania.
Kuhusu raba nakubaliana na mdau pia mavazi yako wakat mwingine hayana mvuto vitishet vinakubana mpk vinakutoa nyonyo afu km vya low quality,pensi na tai jamani naoyo ilikuwa kali.
Sio ujumbe tu kwenye move na mavazi pia yana nafasi yake ila isiwe km kwa baadhi ya kina dada wao wapo kimavazi zaidi na si kiujumbe

Anonymous said...

tatizo lako unajiona unajua kila kitu hupendi ushauri, umekuwa una copy kila kitu kutoka nigeria mfano ile filam yako ya more than pain, ile picha umekopi ya pasion and pain, umebadili kidogo sana, uncle jj nayo umecopy ya mr. ibu akicheza na aki na ukwa, hebu jaribu kuwa mbunifu, kubali kukosolewa utafika mbali kutoa picha nyingi kwa wakati mmoja haimaanishi kwamba sasa umekuwa bingwa, jifunzi kwa musa banzi anatoa filamu za maisha ya mtanzania halisi acha kuendekeza kuiga

Anonymous said...

usipopenda kukubali maoni itakuumiza sana kwa maana kila atakaye toa maoni una mwona kama vile anakuonea wivu, la sihivyo hakuna anaye kuonea wivu bado huna la maana sana watu wanakupenda ndiyo maana wanakushauri badilika kubali mapokeo yale mabaya acha nayo na mazuri yafanyie kazi, usipende kusifiwa tu hata pale ambapo hustahili sifa hiyo, naamini ukifanya vizuri lazima utasifiwa, mwili wako umeshakuwa mkubwa hizo nguo za kimodo zimekutaiti hadi hupendezi tena

John said...

kweli kabisa nakubaliana nawe,mavaz yana nafasi kubwa ktk kuwakilisha adhira ya filamu so mambo yacwe yaleyale vitshrt tight daily.pia kuhusu kutoa filam ukitaka kuwa ktk quality jtahd at list kwa mwaka film mbili na zenye kukubalika na viwango,utafunika ile mbaya manake daily tunapata film sasa watu wataona ni yale maigizo yenu ya kaole mmeamua kutyafanyia shutn upyaa..upo hapo???????????????????

Tumaini Kabuka said...

kama ushabiki, basi ni namba moja.kiukweli nakukubali sana Kanumba, ila sasa baada ya movie hii usiendelee kusuka nywele kwasabu tunakuona ni mtu fulani wa heshima sana, ni ushauri wangu tu kama mpenzi wa movie zako.
Mdau Abarimu.

Anonymous said...

Kwenye hiyo poster, huyo wa nyuma kachemsha, utatangulizaje mguu wa kushoto na mkono wa kushoto?

Anonymous said...

good work lakini you are getting fat punguza hiyo weight !

Anonymous said...

wewe uko juu kaka , jamani mnataka abadilishe kama mademu ?jamanini msimkatishe tamaa.

Anonymous said...

Well am yo fan, una movie nzuri na ni muigizaji mzuri ila kuna kitu kinanikera katika movie zetu za kibongo, mnarefusha sana matukio bila sababu yoyote unakuta ktk movie gari inaweza kuchukua dk 5 nzima tokea linaingia ndani ya gate mpaka linapaki...huo ni mfano ila point yangu ni kwamba punguzeni hilo ndio maana unakuta movie ina part 3 bila sababu...mimi binafsi huwa naforward mpaka nione tukio linalofuata ndio naplay...mbona movie za wenzatu haziko hivyo....otherwise yo doing gud brother.

Anonymous said...

Hata mimi nakubaliana na wadau hapo juu....movie za sasa hivi ni za quality nzuri ila its true punguza idadi ya kutoa movie kwa mwaka ili upate muda wa kutathmini na kutupa muda wadau wako tuzienjoy coz i sumtyms get comfused coz kila ukienda kununua unakuta movie mpya,no wonder mnawapa nafasi wezi wa sanaa kuwaibia kazi zenu.....
Pia wadada ni kweli mara nyingine wapo kimavazi zaidi ndio maana unakuta sumtyms wanavaa nguo haziendani na tukio....BIG UP

Anonymous said...

Mimi huyo Rose hiyo nguo ya kwenye cover si ndio ipo ktk cover ya Bad girls nomaaaaaaa....

Anonymous said...

kama ni ushauri wa bure, umepewa.
sina laziada isipokua kukumbushia ili utekeleze yalio zungumziwa hapo juu. by DNIEL from USA.

Anonymous said...

hongera kanumba kwa hatua iliyofikia,na pia movie zako ni nzuri,ningependa kukushauri kitu kama katika movie zako,mimi binafsi napenda movie sana naangaia movie za nchi mbalimbali in short ni mfatiliaji wa movie sana,katika movie za tanzania kwa kweli hamna hualisia jaribuni kuwa na hualisia wa jambo,tushawishini sie tuone ni kweli na tuamini,pia katika mavazi,yaan hapo jamani kweli mnaniboa sana.,yaan haswa wasichana hawajui wapi pa kuvaa,yaan hawajui vazi lipi la officini,lipi la kwenye party,lipi la kuvaa usiku,lipi la kuvaa mchana,lipi la outing.lipi la dinner party,yaan ilimradi tuu,eti mtu anatoka outing mchana anavaa uchi,what are u telling us are u people educating us or spoiling us,mtu officini anavaa nguo ya club,nini maana ake,mtu anaenda kwenye interview tena ya t.v show anavaa uchi mpaka anashindwa kukaa inabidi ajizibe na mtoo,kwenye interview??jamani kweli hii ni movie au nikujiadvertsing kibiashara zaidi,mnajiaribia,pls fanyeni kazi,kwenye movie sio pakujionyesha kuwa unaumbo zuri unajua kuvaa uchi,..samahi kama nimekosea ila nimeona ni bora niwambie coz mie sipo tz na movie zenu nimezileta huku na zinaangaliwa na watu wengi coz they have translations so mmnaiaibisha tz kwa kweli,pls u guy work on that