Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 17, 2011

THE GREAT IN U.S.A

The great kwa sasa niko Marekani kwa mapumziko mafupi na katika pitapita nikakutana na dada yetu mbunifu maarufu wa mavazi nchini Asia Idarus maeneo ya Washington akiwa na mmewe tukapata picha ya pamoja. Asia,Hamsini,na The great in America

Hamsini,Dada Sharifa Kalala na The great..

9 comments:

Anonymous said...

Mapumziko mema uncle JJ lakini usimalizie hela zote kwa matanuzi. Muhimu ukumbuke kujenga, sio nyumba moja, jenga nyumba hata tatu ukipangisha zitakulipa ile mbaya. msalimie Da Asia na mumewe

Gilo said...

uko juu kaka, juzi tu nilikuona bongo, wape hi wadhungu.

Anonymous said...

hello kanumba, I wish to know which state are you in USA, And if is possible i need your phone number please!

Anonymous said...

Kila la heri Rafiki......Kizito!!

Anonymous said...

jamani nawamiss ile mbaya..naona kwa raha zenu bro kanumba na da sharifa...nisalimie sana,fay rahima,sabrina cater,shem kalala...


dada sanura
danmaek.

Anonymous said...

jamani nawamiss ile mbaya..naona kwa raha zenu bro kanumba na da sharifa...nisalimie sana,fay rahima,sabrina cater,shem kalala...


dada sanura
danmaek.

Albert said...

Hahah!
Mbona haraka-haraka hivyo? Unaenda bila kuaga?
Anyway I hope you're enjoying your holidays in US.
Albert
WA

Anonymous said...

au kuna movie unaitayarisha USA?

Anonymous said...

we huckii baridi?