Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 23, 2011

THE GREAT AKUTANA NA SAMUEL MALONJA

Nikiwa hapa Washington Dc nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi Mr.Samuel Malonja,huyu kabla ya kuja huku ndiye alikuwa akitengeneza soundtrack za movie zangu lakini pia nimewai kupiga nae mziki wa gospel kanisani katika kwaya ya NEEMA GOSPEL(A.I.C.T-CHANG'OMBE).Alinialika kwake na baada ya kufika akatoa magitaa ili tujikumbushie...basi tukaporomosha ziki kari la kimya kimya...

Samuel na mimi

Akishangaa jinsi ninavyoshusha vipande

mmh namimi kidogo nikimshangaa vitu anavyoshusha

kwa pamoja tukawakilisha

No comments: