Sasa Filamu ya YOUNG BILLIONAIRE ipo mtaani
Pata nakala yako katika DVD, VCD na VHS mahala popote pale penye maduka ya kuuzia kanda zetu hapa Nchini. Akhsanteni kwa ushirikiano.

Akionesha tuzo yake juu mara tu baada ya kukabithiwa
Kama tulivyopewa nafasi ya kipekee kuongea machache wakati wa ufunguzi wa tamasha hili la kimataifa ndivyo tumepata fursa ya pekee kuongea machache wakati wa kufunga tamasha hili la ZIFF,Wasanii tuliitwa mbele na kusema machache jinsi tulivyofurahishwa na tamasha la mwaka huu maana limetukumbuka wasanii wa nyumbani tofauti na matamasha ya nyuma,lakini pia kuweka siku maalum kwa ajili ya filamu za nyumbani na kuzipa tuzo
Toka tamasha lianze The great nilikuepo hadi mwisho wake nimeshuhudia wasanii mbalimbali wa mziki wakitumbuiza vizuri ila kwa msanii KIDUMU toka Kenya kavunja rekodi kwa burudani hakika alikonga nyoyo zetu.
KUTOKA KUSHOTO NI RAY,KANUMBA,BABA HAJI,MONALISA NA PROGRAM MANAGER WA ZIFF NDG DANNY.HAPO KILA MSANII ALIONGEA JUU YA FURAHA YAKE KUWEPO KWA SIKU MAALUM YA SIKU YA FILAMU ZA KISWAHILI KATIKA ZIFF.
Kutoka kushoto ni Joyce Kiria,Gervas kassiga,Kanumba,Ray,Headmaster wa shule hii na mgeni wetu toka UK.
wakitusikiliza