Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jul 9, 2010

MWEZI HUU MDA WOWOTE NTAWALETEA YOUNG BILLIONAIRE...KAENI MKAO WA KULA KWA MASHABIKI WANGU WA KWELI.

KWANGU MIMI BURUDANI TOKA MOYONI,HUWA NAKONGA NYOYO VILIVYO KATIKA TASNIA HII.MWEZI HUU FILAMU HII ITAKUWA MADUKANI MSIACHE KUPATA NAKALA YAKO ORIGINAL NA SI FEKI,WACHA KUAZIMANA NUNUA YAKO BEI IKO SAWA KWA WOTE,IMETENGENEZWA CHINI YA KAMPUNI YANGU YA KANUMBA THE GREAT FILMS.. POSTER LAKE.

6 comments:

Anonymous said...

ebwana ehhh naingoja kwa hamu sana hiyo duh nina kiu nayo haswa hongera sana kwa kazi nzuri sana

Anonymous said...

HONGERA MWANA WANE, NIMEPENDA WHITE MARIAH, MANA NILIKUWA NACHEKA SANA , NAHUZUNIKA YAANI KUNA AINA MBALIMBALIZA HISIA, MISHANGAO, IMPO, MIGUNO VICHEKO MAJONZI UMEFANYA VIZURI.

ILA TO BE HONEST MMEPENDEZA SANA NA WEMA HIVI SIJUI SHETANI GANI ALIPITA, UNAJUA NINI MAPENZI MENGI YA VIJANA WA SASA HAWASALI , HAWAMKUMBUKI MUNGU YAAN WAO WAKIONA WATU WAMEWAKUBALI TU NDO KILA KITU KWAO, TENA UNAMKUMBUKA MUNGU UKIWA UNAPLAN, UKIFANIKIWA TU BASI NDO NYIE, LAIT WEWE NA WEMA MNGEKUWA MNA IMAN NA MNAKUMBUSHANA KUWA NDANI YA PENZI LETU MUNGU ATUSIMAMIE TUSIMUUDHI NA ATUONGOZE YOTE HAYO YASINGE KUWEPO

KWANI KANUMBA MWANAUME ANAUWEZO WA KUMBADILI MWANAME NA MWANAMKE PIA. WEMA BINADAM, NA WEWE PIA MANABADILISHANA NA INAFIKA WAKATI MNAKUWA SIRIAZ NA MAHUSIANO YENU TENA KWA KUSALI SHETANI APISHE,

HIVI ULISHASIKIA WASANII WA NJE, MNAOWAFUATA NYAYO ZAO, WALE WANAIMANI NA MUNGU, CHARCH MSIKITIN WANAHUDHURIA NA HAWAACHI KUSALI MSIONE WANASHYNE ILA NDO MIONGOZO YAO , WATANZANIA BUSY NA FANY WITHOUT MUNGU.

HIV MTU ATAKUTAFUTA SAA NGAP UKIWA KARIBU NA MUNGU AANZE KUKUZUSHIA MANA KANISANI MSIKITINI HAKUONI, WE UNAENDA WAPI, MUNGU YUPO BUZY ZAID YA KO NA HAO WOOOTE SO PLZ ME NAPENDA SANA KAZI ZAKO MPAKA HAPO ULIPO NI REHMA ZA MUNGU SO MGEUKIE MUNGU FANYA NDO STARTER BEFORE ANY THING, HATA KAMA UNAENDA MZIKI MUOMBE MUNGU AKUFIKISHE SALAMA AKULINDE USIPATWE NA KITU KIBAYA.URUDI KWAKO.


UKIIJUA HII UTAKUWA NA NIDHAM, MAADILI UPENDO. HATA MTU AKIKUKOSEA UTAMSEMEA KWA MUNGU, MUNGU UNAJUA HUWA ANAJIBU KWA KUKUPA ZAIDI, ILA WATU HAWAFAHAMU ILO SO PLZ MA BRO.

MAISHA NA MUNGU, MAISHA NA NIDHAM, MAISHA NA UPENDO WA WATU.

HATA KAMAUNAMAHUSIANO NA MTU MWINGINE FANYA HAYO NILIOKWAMBIA, MTADUMU MTAKUWA KAMA AKINA WILLTHIMS, SIO KAMA WASANII WA KIBONGO MADEM, KUMI,KILA LEO MWINGI.

ANA WAKUMSINDIKIZA SHOOTING, ANA WAOUTING, YAAN MIA KIDOGO, IS NOT GUD MA FRED ENH,


SASA NIKWAMBIE WEMA IS REAL WOMAN NA ANAFUNDISHIKA KAMA TABIA HIZO NI UTOTO, SO IPO SIKU UTARALYZE

Anonymous said...

Napenda kukupongeza kwa film ya THIS IS IT. Jana ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuiangalia, kwa kweli niliipenda sana hadi nikairudia mara ya pili. Yule binti ana kipaji sana, ni muigizaji mzuri sana, natumai utaendelea kuwa unamshirikisha kwenye film zako zingine. Nilikuwa nashangaa jinsi alivyokuwa anaongea, kwa kweli, she is going to become a real star in future. Bila kumsahau bwana mdogo, nawapongeza sana na wewe pia nakupongeza kwa uigizaji wako. I hope na hii young billionaire itakuwa nzuri pia. Ubarikiwe.

Anonymous said...

mie pia naingojea kwa shauku kubwa si ndio hiyo movie alocheza yule dada kutoka denmark.yaani nina hamu niione bwana kanumba

Do said...

Hallo Naisubili kwa hamu mno mno hii young billionaire nimeona Trail. yake inaelekea hii movie itakuwa bomba sana Twambie tu hiyo siku itakayokuwa rasmi dukani.

Anonymous said...

wajina steve,nskufagilia sana kaka.big up na endelea kuleta vitu motomoto.