Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jul 27, 2010

Nimekifyatua jamani..

Sasa Filamu ya YOUNG BILLIONAIRE ipo mtaani
Pata nakala yako katika DVD, VCD na VHS mahala popote pale penye maduka ya kuuzia kanda zetu hapa Nchini. Akhsanteni kwa ushirikiano.

26 comments:

Anonymous said...

kaka mimi nakubali kazi zako lakini mbona kila mwezi unafyetua kama matofali hata faida sidhani kama unaona kweli it too much kaka mmh alafu kwa ushenzi one and two mashabiki wako tunachoka kiukweli mimi nakuambia kwa mfano jana nimenunua ya swahiba leo yako mara duu kaka angalieni hii mabo jamani italeta maneno nyingine hapa tz kaka walahi tujifunze kutoka hata kwa wenzetu kaka

George chisumo said...

kaka yani mimi nipo shule nadhani nikifunga likizo nitakuwa na madeni ya kutazama movies zako! coz ckubali movie yako yoyote niikose, kaza buti kaka! sisi wote tunakuangalia wewe kaka! coz ur my role model! i wish 1 day niwe kama wewe kaka!

Anonymous said...

We Anön hapo juu lazima afyatue nyingi ili auze nyingi na zinauzika ndo maana anafyatua...jamani huyu swaiba wako anaboa na hiyo Alaa pumbavu yake!hadi inatia kichefu chefu jamani embu kanumba muwe mnashauriana kutengeneza viashirio vya maana imagine pale mbele kwenye tamasha la ziff eti anaanza kwa hiyo Alaa!sasa yani alitaka watu waitikie pumbavu! Inasikitisha sana hata kwenye movie yake ya suprise basi kuna sehemu anarudia rudia hiyo Alaa pumbavu yake hadi inaboa hembu mshauri swaiba wako bwana.mdau PRINCELEE.

Anonymous said...

We Anön hapo juu lazima afyatue nyingi ili auze nyingi na zinauzika ndo maana anafyatua...jamani huyu swaiba wako anaboa na hiyo Alaa pumbavu yake!hadi inatia kichefu chefu jamani embu kanumba muwe mnashauriana kutengeneza viashirio vya maana imagine pale mbele kwenye tamasha la ziff eti anaanza kwa hiyo Alaa!sasa yani alitaka watu waitikie pumbavu! Inasikitisha sana hata kwenye movie yake ya suprise basi kuna sehemu anarudia rudia hiyo Alaa pumbavu yake hadi inaboa hembu mshauri swaiba wako bwana.mdau PRINCELEE.

Anonymous said...

uncle jj hongera movie tumeiona lakini kaka mbona kwa jinsi story ya movie ilivyo ni kama wewe na wema mlivyokuwa au mtazamo tu.lakini big up kaka uhusika uanauweza.

Anonymous said...

ggggggggggggggggggggggdddddddddddddddddddddddddddddddddd

MANATI said...

Habari mkubwa hatamie nazikubali kazi zako, unajitahidi kwaviwango vya bongo hata kwa Afrika, ila tatizo nihilo kama alivyosema Anonymous hapo juu inasikitisha kila mwezi unafyatua vitu vipya kweli hiyo faida unaiona ndugu yangu, sijui unamanage vp usambazwaji wa filam zako unaju inawezekana kawa unafyatua filam kila mwezi mwisho wa mwaa ukifanya majumuisho ni bala una filamu kumi nambili unaambulia kununua kijigari tu itakusaidia nini kaka ifike wakati kaa chini angalao kwamwaka unatoa filamu mblili tu nzuri zenye mvuto zisizo chokwa wala kuchuja kwa haraka kama sasa.
unajua Bluce Lee filam zake japo za zamani lakini hata kizazi cha sasa wakizina bado wanazipenda, kwanini isiwe wewe LEGEND katika tasnia hii ikawa hivyo hata vizazi vijavyo waendelee kutafuta filamu za Kanumba.Wakati ukuta wasanii wetu wengi wanchi hii wanajisahau wanalewa sifa bandia mwih wasiku wana haribikiwa.
Mwisho toa filamu chache kwa mwaka
simamia mapato yako vizuri fanya maendeleo yamaana Kaka ebu jaribu kuiga kwa Jide binti machozi anavyofanikiwa. Nihayo tu nimimi ninayekubakubali kazi zako.
KAZA BUTI.

Anonymous said...

hii movie nimeiona kwa kweli ni nzuri sana halafu yule dada wa meka up kwa kweli amenimaliza yani inaonysha ni jins gani alivyokua shap yani tabasam ndio mwake ...kwa kweli nimempenda sana nilitamani aendelee kwa lile tabasam lake...pale anapowaaga...big up sis uko juu

mdau said...

anony july 28,7;27 UMESEMA UKWELI KWANI HAWA JAMAA JAMANI WAMEZIDI KILA SIKU WANAFYATUA, NDIO WAZURI LKN UZURI WAO HAUWI MZURI MAANA WANAFANYA VITU HARAKA HARAKA ILI VIINGIE SOKONI,JARIBUNI KUWA HATA KAMA WENZETU JAPO KUJARIBU MKAE HAAT MIEZI SITA MNAFANYA KAZI HATA IKITOKA MTU HAONI SHIDA KUNUNUA,LKN KABLA HII HAIJAKAA SAWA INATOKA INGINE,MBAYA ZAIDI KAMA UMEHARIBU KTK ILIYOTANGULIA BASI INAYOFUATA HUWEZI KUUZA KIVILE,JARIBUNI FANYENI UTHUBUTU MTAISHI TU KIBONGOBONGO KULIKONI KUTULETEA MAUZA UZA MTAANI. KILA LA HERI

Anonymous said...

hey,the great. kwa kweli nikiangalia blog yako unajitahidi sana ila opinion yangu ni kwamba ur a very good tanzania actor, lakini when it comes to this part of infortainement, BABY ur not good. sina kitu kibaya na wewe just expressing my feelings, blog yako inaboa sana. unajua mtu kuamka asubuhi, kuwasha comp na log into a blog ni kwamba ana expext mengi, kumbadilishia either bad mood aliyoamka nayo au kumpa moyo wa kufanya maajabu that day, ila blog yako, makes me fill like going back to bed. pliz, kuwa creative zaidi kufanya blog yako iwe interesting, I LIKE YOU, that is why nataka u-improve. KISSES!

beatrice said...

hallow kanumba nakupa big up movie zako ni nzuri sana na kadri zinavyozidi kutoka zinakuwa nzuri kweli wewe ni the great. huna mpinzani. Advice: movie zinapendwa cz una act reality na vionjo vyako ktk movie vinapendeza havimchosh mwangaliaji. mfano kwenye young billionaire unamwambia aunt.( ngoma ikivuma ikavuma tena ikavuma vuu vuu vuu vuu). hahaha inapendeza the great. keep it up naingojea crazy love mana nilikiona kipande kimoja pale magomeni ukiwa na benny its funny.

Anonymous said...

unatisha the great.

Do said...

Kwanza asante kwa kututangazia hapa kwamba imeshaanza kuuzwa madukani. Maana siku tatu baada ya kutangaza Movie ilikuwa ndani ya Europe na sisi tukaangalia.

Kanumba Hongera sana tumeona movie ya YOUNG BILL. Nzuri mmejitahidi sana. Mwenyezi Mungu Akubariki uendelee hivyo hivyo.

George chisumo said...

kaka mimi nakukubali! yani hiyo young billionaire ni ya ukweli sana kaka! alafu umenikosha sana kwa kuweka vipande vya behind the scene, kaka pale aunt ezeckiel anapohogopa kupanda kile kiboti pale beach! keep t up kaka!

Anonymous said...

kazi nzuri kaka,,umepiga hatua ya maana mkuu wangu,, uclewe tu sifa ndugu, mzee wa macho kwa macho,,akili yako kweli inaclick kaka nimekubali mwana,,,unajua kaka unajua wala c utani,, unatafuta parkin wakati upo mataa kweli wewe chiboko hahahahah was fun kaka,,, ila uclewe

Anonymous said...

Hongera sana kwa kazi nzuri,kweli hii movie ni bomba sana,ila nina swali mbona unapenda sana kuvaa eye contact?mi nashauri ubaki na macho yako ya kawaida labda km unaigiza movie ya kutisha km ya magic house basi unaweza kuvaa.kazi njema

Anonymous said...

Hi, kwa mtazamo wangu naona kama vile umemsuta girl friend wako wa zamani kwenye young bill

Anonymous said...

yOUNG B Ilinighekesha sana pale uliposema kijitu chenyewe kinatembea kama kinarudi reverse na pale dadako aliposhtuka na kudondoka baada ya kujua mke unayetaka kumwoa mwanangu alicheka tuliparudia kama mara sita hivi bravooooooooooo
DadaMkubwa

MANATI said...

MBONA BAADHI YA COMMENT HUZITOI,YAANI UNATAKA ZAKUKUSIFIA WEWE TU! ZAKUKUKOSOA AHHHHH HUZIWEKI ZIWEKE MKUBWA HATAWASOMAJI WENGINE ZITAWASAIDIA
MAANA HATAWASANII WENGINE NAO HUWA WANAZISOMA KAKA.

KAZI NJEMA.

MANATI said...

MBONA BAADHI YA COMMENT HUZITOI,YAANI UNATAKA ZAKUKUSIFIA WEWE TU! ZAKUKUKOSOA AHHHHH HUZIWEKI ZIWEKE MKUBWA HATAWASOMAJI WENGINE ZITAWASAIDIA
MAANA HATAWASANII WENGINE NAO HUWA WANAZISOMA KAKA.

KAZI NJEMA.

adela said...

halow kanumba nimeona movie yako ya young billionare ni bonge la movie bog up kaka wish u all the best kaza buti

Anonymous said...

FOR THE THIS TIME IN YOUR AND MY LIFE UMEFANIKIWA KUNIFANYA NIANGALIE MOVIE YAKO MARA TATU MFULULIZO.

Lazima niseme kweli kuwa siku zote huwa naangalia movie yako mara moja kisha, narudia tena baaday ya mwezi au zaidi.

HII

YOUNG BILLIONARE WITH A SUPER STAR.

Nothing like this has ever happened here in Tanzania.

Comment :- I suggest you find a distributor in Paris or the US, Mimi sio Mungu lakini hisia zangu zinaniambia unaweza kuuza saa.

Wewe ni mpenzi wa Dominquez, mimi ni typical Werrasonque hivyo sote tunajua ladha za muziki.
Kwanini nasema hivyo, PATCHO amenifurahisha sana. Yaani ame act kama yupo kwenye stage anashusha mistari - UKIPEWA PIKIPIKI UNATAMANI.....

Lastly but not least (Utani Kidogo):-

Pourquoi les scènes de ce film un peu de refléter la vraie vie de certaines étoiles en Tanzanie l'

Regards,

* Prince Sab - Werrasonique *

Anonymous said...

kanumba unatisha,post basi some pics from ur new bomb billionaires club !!!!

ciana said...

hii filamu ni kali mbaya kanumba we upo juu kama mnara wa voda

mwanaisha said...

Mimi nilifurahishwa na ule msemo wako, Utamu Wakaranga anujua aye tafuna. kwakweli nimeupenda sana.

mwanaisha said...

Mimi nilifurahishwa na ule msemo wako, Utamu Wakaranga anujua aye tafuna. kwakweli nimeupenda sana.