Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jul 7, 2010

THE GREAT IN DURBAN

WATOTO WA KIZULU WAKICHEZA NGOMA YAO YA KIASILI KATIKATI YA MJI WA DURBAN


HAWA DADA WANARUSHA MIGUU KISAWASAWA

NIKIWA NA MASHABIKI WANGU AMBAO WALINIOMBA KUPIGA PICHA NAMIMI

HAWA WATOTO WALISHINDWA KUVUMILIA IKABIDI WAJE KUNIOMBA KUPIGA PICHA MASKINI KUMBE NI SHABIKI WANGU WAKUBWA NAMI NIKAWAKUBALIAHUYU NI DADA WA KIZULU AMBAE ALIAMUA KUNILETEA ZAWADI KABISA KAMA PONGEZI YA KAZI ZANGU PIA AKANIPA NA BENDERA YA NCHI YAO AFRICA KUSINI KAMA KUMBUKUMBU.

2 comments:

Hadj Drogba "mwana chelsea" said...

HAKUKWAMBIA KWAMBA HAO WAZULU WA DURBAN WANAOVAA HIJAB ASILI YAO NI ZANZIBAR WALILOWEA HUKO VIZAZI NA VIZAZI ENZI ZA UTUMWA WAKISAFIRISHWA KWA MAJAHAZI,NDIO UNAONA HAWAACHI ASILI YA KUFUNIKA VICHWA VYAO JAPO HAWAJAWAHI HATA KUFIKA ZENJ

Anonymous said...

hongera sana kakaangu yaani mi nakukubali mbaya hakuna hata movie yako ambayo nmeshawahi kuicheki nikawa sijaridhika real unaitendea haki fani yako na kutuburudisha sisi fans wako .....napenda sana kazi zako kaka kaza buti mungu ni mwema atazidi kukuweka juu kwani unastahili brotha,,,yaani huyo mama amenifurahisha sana nahisi hata mie siku nikija kukutana nawe nitakupa zawadi japo ya mkono kama hutajili jainsi navyokufagilia.tupo pamoja kaka.