Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jul 14, 2010

THE GREAT KATIKA KAZI ZA KIJAMII ZANZIBAR.

Jina la shule nimesahau kidogo ila hii ni moja ya shule tuliyoitembelea na kuongea na wanafunzi ambao walikuwa wanatusubiri kwa hamu ili kuongea na sisi lakini pia walikuwa na maswali yao ambayo tuliwajibu kwa ufasaha. wakitusikiliza

Tukiwa mbele yao wakihoji maswali na kuelezea furaha yao kuonana nasisi live

The great nikijibu maswali yao ambayo mengi yalikuwa yakihusu film yangu ya THIS IS IT...unce jj na Jenifa.

Picha ya pamoja na wanafunzi

Monalisa akisaini autograph..

The great pioneer nikisaini Autograph ya mwanafunzi huyu aliyeniomba nifanye hivyo

2 comments:

Anonymous said...

Nampenda monalisa na figure yake ya ki miss,utafikiri hana watoto 2.

Anonymous said...

Nimependa monalisa alivyovaa viatu virefu,yaani anakuwa real star kwa kweli.kuliko vile alivyokuwa anavaa sandos.now u go girl,i am ur number one fan u know