Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jul 7, 2010

THE GREAT ATEMBELEA MNET-AFRICA(SOUTH AFRICA)

Nimefanya ziara kidogo ya kutembelea ofisi za mnet na africa magic ambao hurusha movie zetu kupitia DSTV..Hivyo nikaona niwape picha japo kidogo. The great na Elnest ndani ya ofisi za mnet

Hapa nikiwa na mmoja wa staff wa Africa magic channel

Hapa nikiwa na baadhi ya staff wa Africa magic plus ambao wengi wao kwa sasa ni wapya tofauti na wale waliozoeleka kama dada yetu Hamida Suleiman ambaye hayupo tena ktk ofisi hizi pamoja na Nashon.

The great na Lilian nje ya ofisi za MNET.Lilian kwa sasa ndiye mkuu wa kitengo cha movie upande wa Africa magic plus hivyo kwa wale producers mnaopeleka movie huku lijueni hili lakini pia ofisi za ununuzi wa movie umeamishiwa Nairobi Kenya hii ni kutokana dada yetu Hamida kuacha hapa.

Lilian akimsihi mpiga picha apige picha kubwa ili nembo ya MNET ionekane

Ofisi za mnet kwa nje zinavyoonekana nchini africa ya kusini-johannesburg

3 comments:

Anonymous said...

Teh teh teh teh! Kanumba kumbe nawewe ni tall? kwenye hiyo picha na dada lilian unaonekana umrefu km Hashim Thabeet!

neria Desmond said...

Kanumba kaka yangu,,,mimi ni mdau wako lakini mbona unapenda vaa mashati ya rango za kushout saaana???? Ni ushauri tu,,, hebu jaribu kununua rangi za kiume,, yu are Handsome, young and energetic pliz punguza hayo marangi ya Kike... Anaekushauri uvaaji huo mhhhh, hapana Imekaa vibaya.
Otherwise big up na kazi zako nzuri.

Anonymous said...

yoyo watsup yu keepin it cool!....life treats you good i hope