Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jul 11, 2010

STEVE KANUMBA NA VICENT KIGOSI NDANI YA ZIFF ZANZIBAR

LEO SAA MBILI USIKU LIMEZINDULIWA RASMI TAMASHA LA FILAMU LA KIMATAIFA LA 13 LIJULIKANALO KAMA ZANZIBAR INTERNATINAL FILM FESTIVAL(ZIFF)AMBALO KWA MARA YA KWANZA MIMI NA SWAHIBA TUMEPEWA MWALIKO WA V.I.P KUHUDHURIA KATIKA TAMASHA HILI BAADA YA MCHANGO WETU KUONEKANA KATIKA FILAMU ZETU NCHINI NA AFRIKA KWA UJUMLA,HAKIKA NAWASHUKURU ZIFF KWA KUTUKUMBUKA NA KUTAMBUA MCHANGO WETU. LIKIZINDULIWA RASMI KTK UKUMBI WA NGOME KONGWE HAPA ZANZIBAR

WATU WAMEJITOKEZA KWA WINGI SANA

SWAHIBA NA THE GREAT KWA MARA YA KWANZA NDIO TUMEHUDHURIA TAMASHA HILI BAADA YA KUPATA MWALIKO MAALUM.

SHAMRASHAMRA ZA UFUNGUZI ZILIKUWA HIVI

THE GREAT NIKIWA NA ID YANGU YA ZIFF

KUMEKUWA NA BURUDANI MBALIMBALI TIZAMA MWENYEWE MAMBO YA KIHINDI

HAWA VIJANA WALISHAMBULIA JUKWAA VILIVYO KWA STAILI TOFAUTI ZA MIZIKI DUNIANI

MICHAEL JACKSON WA ZANZIBAR NAE ALIKUEPO

ULIFIKA MDA WA STEVE KANUMBA NA RAY KUONGEA MACHACHE MBELE YA WAGENI HAPO RAY NDIE ALIYEANZA KUZUNGUMZA,ALIWAPONGEZA ZIFF KWA KUWAKUMBUKA WASANII WA FILAMU WA BONGO AMBAO WALISHAKATA TAMAA NA TAMASHA HILI NA KUONA KAMA SI LAO NA KUWASIHI WATANZANIA WOTE KUPENDA KAZI ZA NYUMBANI.

THE GREAT NAMI ILIFIKA ZAMU YANGU..

ILIANZA KUONESHWA FILAMU YA ''I LOVE U''TOKA JURRY,IKIFATIWA NA FILAMU YA HISTORIA YA MAISHA YA MZIKI YA MWANAMZIKI YOUSSOU N'DOU

TULIPATA PICHA YA PAMOJA NA KIONGOZI MKUU WA ZIFF..

2 comments:

Anonymous said...

mbona inaonekana hamkuwa na amani nini ilikuwa mbaya?

Anonymous said...

BOra muende mkajifunze wenzenu wanafanya nini na nyie muingie kwenye kinyanganyiro. Kuna kitu umoja umeniudhi huwa natoaga constructive critisism lakini unazipuuzia na kuwa mbishi wala huzifanyii kazi kama mwenzio the greatest anakubali kukosolewa badilika mdogo wangu yote ni katika kukujenga wanaokukosoa sio wote wanakuonea wivu ni kukutakia mema. Niliandika umechemsha kuandika stuff badala ya staff umeacha vile vile na sikuwa na haja utoe comment yangu