Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jul 13, 2010

UPENDO NA UKARIMU WA MASHABIKI WA ZANZIBAR

Tulipata mwaliko wa kupata chakula cha mchana mimi,ray,cloud na wadau wengine toka katika familia moja ambayo ni wapenzi sana wa movie zetu hakika chakula kilikuwa kitamu sana..The great natoa shukrani zangu za moyoni kwa familia hii.

Yaani dakika 10 nzima swahiba namsubiri amalize kupakua

Punguza upakuaji wako swahiba bado tupo wengi....

Picha ya pamoja sisi na baadhi ya wanafamilia waliotualika

Baada ya mlo kulikuwa na mahojiano mbalimbali ta TV kama unavyoona,swahiba akihojiwa baada ya yeye nilifata mimi

5 comments:

Anonymous said...

Kanumba picha nzuri... za zanzbar

Anonymous said...

nimevutiwa na ukarimu wao,

Anonymous said...

Kanumba, huwa unabania sana maoni yangu hata kama nakusifia, sielewi tatizo liko wapi. Leo nataka kuwapa hongera wewe na swahiba wako jinsi mnavyoelewana, kwa kweli ni mfano mzuri wa kuigwa na wasanii wote. Mbarikiwe sana.

Anonymous said...

kanumba mlitoka bomba alafu nimependa sana vazi lako hakika wewe sanaa ni kipaji chako.u rock men!

Anonymous said...

ha ha ha nmependa hilo pozi lako la kumsubiria ray amalize kupakuwa afta 10mins
looooh

Nice joke

mko juu kwa ushrikiano