Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jul 14, 2010

STEVE KANUMBA NA RAY TWATEMBELEA SHULE YA SECONDARY YA JANG'OMBE ZANZIBAR

Tumepata wakati mwingine wa kutembelea shule hii tukiwa tumeambatana na mwalimu wa sanaa ya film toka UK(jina kapuni) aliyewai kuwafundisha wanafunzi hawa sanaa ya uigizaji kabla hajaondokana kurudi tena leo kwa ajili ya kuwapa zawadi zao wana funzi hao waliofuzu vizuri. Kutoka kushoto ni Joyce Kiria,Gervas kassiga,Kanumba,Ray,Headmaster wa shule hii na mgeni wetu toka UK.

Wanafunzi waliopata mafunzo hayo

Mwanafunzi kiongozi akipokea zawadi kwa niaba ya darasa

Zawadi mbalimbali vikiwemo na vitabu vya shule

The great nilipata nafasi ya kuongea machache kwa wanafunzi na kuwapa moyo kwani hata sisi tulianza hivyo hivyo mpaka ndoto zetu zilipotimia

Picha ya pamoja na wanafunziWasanii na head master....kutoka kushoto ray,joyce,headmaster,monalisa,cloud na mimi.

4 comments:

Anonymous said...

Hongerani kaka zangu hyo shule nilisoma ule upande wa pili ikiwa ni primary sina uhakika ila nafkiri mlienda kujionea shughuli za kisanaa hapoa maana hawajambo kwa sanaa, above all one of ma friends learnt there. Shukrani kwa kutembelea zenji

mdau wa tasnia yenu said...

celebrities wakitembeleaga sehemu kama hizo huwa wanatoa msaada ama ahadi ya kuwasaidia kutatua matatizo ambayo ni lazima yapo sehemu hizo,haya nyie wenzetu vipi?au mlitoa kimya kimya?si lazima ila inapendeza kusaidia sehemu kama hizo mnazopewa heshma kuzitembelea kama celebrities.

Anonymous said...

I love it. Hivi ndivyo vioo vya jamii wanatakiwa kuwa. Ongeza marogo vijana mtafika tu.

Anonymous said...

Wow, napenda kuwapongeza kwa kazi nzuri mnazofanya, ila msisahau kuongeza bidii na pia mkubali makosa kutoka kwa jamii, kwani hayo ndio yatakayowasaidia kuongeza ubora wenu.

kilichonifurahisha sana ni kuona wasanii wenye ujuzi sana mnaelewana tafadhali zidini kupendana, kusaidiana na kushirikiana msisahau ya kuwa nobody is perfect......
Big up