Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jul 23, 2010

HII NDIO HALI HALISI YA BOMU LILILOLIPUKA KAMPALA-UGANDA HIVI JUZI.

TUZIDI KUMUOMBA SANA MUNGU.WAPO WALIOPOTEZA MAISHA YAO BILA SABABU...MWENZAKO AKINYOLEWA ZAKO TIA MAJI JAMANI TUITUNZE AMANI YETU CHUKI ZA NINI?

5 comments:

Anonymous said...

kaka inabidi uwe up to date na picha zako unalegalega sana kwenye kuupload hizi picha za kampala watu wanazo kwenye emails zao longtime we unaziweka leo halafu iankuchukua muda sana kuweka picha mbona mwenzio Ray anaupdate mara kwa mara inaelekea wewe ni mvivu matukio unayo kibao ila hauko makini jua kwamba this blog is the part of promotion kaka sasa watu wakiwa wanafungua wanakuta picha zile zile daily wanachoka.take my words

Do said...

Dah picha zinasikitisha sana kuangalia kweli binadamu hujafa hujaumbika. Tunaishi siku ya leo dakika hii hujui dakika zijazo kitatokea nini katika maisha yako au ndo mwisho wa maisha yako. Kweli kila siku ikipita unamshukuru Mwenyezi Mungu kwa maana hatujui dakika, saa, siku kilicho mbele yetu. Ni kujiweka tayari na kumuomba atusaidia na kutuepusha na majanga.

viumbe wasio na hatia kama hao wanaonekana kwenye picha wanawawa bila sababu kutokana na mioyo ya watu wachache wenye roho mbaya za ubinafi na kutaka kila kitu kiwe kama matakwa yao na visasi.

Anonymous said...

The great, next time ukitaka kuweka picha za "kutisha" kama hizi ni vema kutoa tahadhari .... ni ktk kuwekana sawa tu.

Anonymous said...

M/mungu zilaze roho za marehemu mahali pema peponi amen,

SpoiledBrat said...

Sorry i hope you speak English when putting up pictures that are this gory its always right to put a warning to be viewed by viewers over 18 next time learn to be considerate and do remember children come on your site and you dont want exposing them to things like this....