Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jul 14, 2010

STEVE KANUMBA NA RAY WAKUTANA NA MHESHIMIWA MAMA SHADIA KARUME(FIRST LADY)

Mimi na swahiba tumepata nafasi ya kukutana na kuongea machache na mke wa raisi wa Zanzibar mama Shadia Karume hapahapa Zanzibar. Akitupongeza kwa kazi zetu na jitihada zetu katika tasnia hii ya filamu.

Hakika nimefurai kuwaona..

Pia tuliendelea kuwaona na kusalimiana na waheshimiwa wengine.

Wakati wa kutoka sikutaka kuwabania mashabiki wangu hivyo niliwapa nafasi ya kupiga picha na mimi kama kumbukumbu yao

3 comments:

Anonymous said...

wow Zanzibar is so simple and ppl are very kind.
karibu sana brothers.
was nice to meet with you ngome kongwe. next time mtwambie wenyeji tuwape tour kidogo jamani.
sijaona picha za vivutio vyetu, mlipata kupita? ntakupa cont zangu next time ukija unitafute upate kula matunda ya mdau wako katika kazi yake ya utalii Zanzibar

Anonymous said...

picha nzuri mashalah, kanumba naomba kukuliza. me nipo nje ya nchi so kama nkitaka kuona filamu zako ntapata website gani coz ktk youtube zipo zile za zamani tu. au naweza kununua vipi,,, thanx NIHAL

Allen said...

that is a very beautiful picture.
dole gumba mia mia...........