Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jul 23, 2010

HAKIKA UKIONA MOVIE HII HUTOAMINI KAMA NI MIMI NIMECHEZA..... NI CRAZY LOVE

Movie hii hata mimi mwenyewe japo nimecheza lakini naipenda sana na naisubiria kwa hamu,ni moja kati ya movie ngumu nilizowai kucheza na nikamudu sawia,itakuwa mtaani mwezi ujao (wa nane)Movie hii ilinifanya kwa mda wa mwezi mzima kusoma vitabu mbalimbali vya wasomi na watu mashuhuri duniani kama PLATO,KARL MAX,ALEXANDER THE GREAT,SAMUEL TAYLOR nk,Ilinibidi kuwa karibu sana na waalimu wakubwa wa vyuo vikuu ili kujua tabia zao.TAFADHALI SI YA KUKOSA,PATA NAKALA YAKO ORIGINAL,,MOVIE HII IKITOKA NAOMBA MNIAMBIE KWA KUNITUMIA E MAIL MBALI NA MIMI HAPA BONGO NI MSANII GANI WA FILAMU HAPA AMBAYE ANGEWEZA KUCHEZA UHUSIKA HUO?NINA UHAKIKA MAJIBU YATAKUWA HAKUNA....AHAHAHAH SWAHIBA UPO?
Hapa kila mtu alisema ama kweli The great ni zaidi ya msanii

Sina utani kabisa niko kazini

The great na Hemedy ndani ya CRAZY LOVE

12 comments:

lema one said...

DA KUDADADEKI YAANI NIMEITAFUTA HII MOVIE CUZ NILION KWENYE WHITE MARIE SASA FANYA HARAKA KABLA HAMU AIJAISHA KAKA

florah said...

HONGERA sana Kanumba hakika upo juu babake mimi binafsi ni mpenzi sana wa movie zako katika wapenzi wako bac mimi ni namba moja.
Mama Mario

Do said...

hallo Kanumba Nimeona Trail. ya hii movie "Crazy in Love" sio mchezo tunaisubili kwa hamu zote. TUTANGAZIE TU IKIWA DUKANI. Mie nakuaminia film zako zote ulizoact Tanzania nzuri sana. Kazi nyingi zinalenga matatizo ambayo baadhi katika jamii yanawakumba na zimechangamka. Mtu ukinunua unapenda kuangalia na kurudia kuangalia unajitahidi mno unastahiri pongezi nyingi. KILA LA HERI NAKUTAKIA MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI UENDELEE HIVYO HIVYO.

Ima (The Designer) said...

Kaka nakuaminia kwa hizp photos tu unaonekana uko tofauti sn sasa ktk movie yenyewe utakuwa ume uwa kabisa. Good Job

Anonymous said...

degelekaga ngalu, olisifia sana bwana obebe, nkoi, balekage abanhu bayombe benekele, ni zaidi ya msanii? ahenaho oleja shibi nkoi.

ole okukaya obebe.

fred , New York, U.S.A

Anonymous said...

Kwa mie binafsi niliona tangazo lake tu nikajua itakuwa nzuri sana

Anonymous said...

kaka wewe ni zaidi ya msanii hakuna mwingine kama wewe keep it up

george said...

mmh! kaka mimi nakukubali sana! vitu vyako ni vya kweli.

george said...

kaka mimi nakukubali sana kaza buti m2 wang!

Anonymous said...

kaka wewe mkali kaza buti m2 wang!

george chisumo said...

kaka wewe mkali mimi nakukubali sana, ur real the Great!

Anonymous said...

hii movie nimeona tangazo lake wakati naangalia white maria,yaan nmeipenda sana naisubiri kwa hamu sana, keep it up kaka upo juu,ur real great